Opinions: Walionena na kuonya... matokeo tunayaona sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Opinions: Walionena na kuonya... matokeo tunayaona sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kapo Jr, Oct 20, 2012.

 1. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  Wana Jf, kutokubali kukosolewa ndiyo kinachopelekea yanayojiri kipindi hiki baada ya waumini wa kiislamu kuanzisha taasisi tofauti(UAMSHO na jumuiya ya kiislamu),taasisi hizi zimekuwa zikivunja sheria za nchi kama vile uchomaji makanisa bila kuchukuliwa hatua na serikali, waliosema udhaifu wa mkuu wa nchi unadhirishwa kwa yanayojiri kwani amani iko mbioni kutoweka. Wazalendo walipoonya waliomadarakani walipinga vikali nadhani kwa tukio la waislamu kukusanyika kwenda ikulu ni ishara tosha kuacha mara moja kulindana kiudini,rais ni wa uma wote na si dini hata anayoabudu,itoshe sasa 'kidole kinaelekea jichoni' ,watawala wachukue hatua madhubuti kulinda amani ya Tanzania.Wameanza waislam,je wakristo wataendelea kuvumilia uchomwaji makanisa kama serikali haitochukua hatua kuzuia hayo?Nawasilisha jamvini
   
Loading...