Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
2139_10152241169350657_1723075994_n.jpg


Maeneo ya Msimbazi

550401_291712227604473_1280719357_n.jpg


Waandamaji

IMG-20121019-WA0000.jpg


Mtaa wa Livingstone karibu na I&M Bank

190373_400702919999603_658448184_n.jpg


Wanajeshi wakifanya doria maeneo ya Kariakoo.

552477_2533268147712_1640344152_n.jpg


Kariakoo

552742_10151596861165166_1841260533_n.jpg


Maktaba House.

DSC09687.JPG


Muumini wa dini ya Kiislamu akishahadia kwa mola wake na kusema 'Nipo tayari kufa kwa ajili ya kutetea dini ya Allah' baada kukamatwa na Askari wa Kikosi cha Kutulia Ghasia katika viunga vya eneo la Ikulu.

2.JPG


Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa katika Mitaa ya Kariakoo na viunga vyake kuimarisha ulinzi.Picha na Happiness Mnale

SAM_2437.JPG


Mtawa wa kanisa katoliki na mama aliyevalia kama muislamu, wakitemba pamoja kukatisha walipo maaskari kariakoo leo jioni.

SAM_2446.JPG


Muslim_police+(8).jpg


Mkazi huyu wa jijini Dar es Salaam, akitafuta mahala pa kujihifadhi yeye na watoto wake, kufuatia mabomu ya machozi yaliyokuwa yakirushwa na polisi wa kutuliza ghasia kwenye maeneo ya Magomeni, Kinondoni na Kariakoo jijini ili kutawanya makundi ya waislamu waliokuwa kwenye maeneo ya misikiti mara baada ya sala ya Ijumaa

Muslim_police+%25281%2529.jpg


Helkopta ya polisi ikijivinjari angani jijini Dar

Muslim_police.jpg


Abiria wa daladala wakilikimbia gari lao kufuatia mabomu ya machozi eneo la Magomeni jijini Dar es Salaam

Muslim_Police+(14).jpg

Wakazi hawa wa jijini Dar es Salaam, wakitaharuki, baada ya kupigwa mabomu ya machozi jirani na msikiti wa Kichangani, Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam Oktoba 19, 2012

PICHA ZAIDI ZIPO KWENYE POSTS NDANI YA THREAD.
 
hawa tu watakuwa ni wale wa mombasa na zanzibar tu. si wote mandugu . pwani ya afrika mashariki taabani
 
It's between the police and a few misguided zealots. The army hasnt been called in yet.
 
Kipindi hiki ni cha hatari kwa sababu virusi kutoka alshabaab na al-qaeda vinaweza kuingia nchini na kumtafuna vitakae mkuta.
 
.... several international news sources are reporting heavy fighting in dar es salaam between muslims and army. can someone update us in dar please

There are so many threads and posts here on JF for the updates. Please take time and search for yourself!
 
Asante kwa picha

lakini naona ni askari tu, hao waandamanaji wachache, Humu jamvini tunavyoaminishwa kwamba kuna fujo sana, lakini sioni kwenye picha hizi.
 
Kama sinema vile, mwendelezo wa move ya Ulimboka, Mwangosi, Barlow, na Uamsho. Ukiona hivi ujue move inaenda kuishia ili tujue sterling ni nani.
 
Back
Top Bottom