Kivumbi UWT leo Dodoma

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
Leo huko dodoma kuna kivumbi ndani ya UWT ..kina mama wawili wanachuana vikali huku kukiwa na vijembe na kushutumiama, kugawa pesa na vitu kama hivyo ambavyo vimezoeleka ndani ya ccm.
Ni kati ya Sofia , Anne na ....
Tupeane updates.
 
Back
Top Bottom