Watetea haki za binadamu wako wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watetea haki za binadamu wako wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JAPUONY, Oct 19, 2012.

 1. JAPUONY

  JAPUONY JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 374
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  >>>>WANA JF,

  Kumekuwepo na matukio mengi sana ambapo watu wanaojiita "Wanaharakati" wamekuwa wakijitokeza na kupiga kelele pale ambapo "wanafikiri" kuwa Serikali haitendi "haki" kwa kikundi au Mtu fulani. Binafsi ninawapongeza kwa kazi wanazo fanya, ni nzito na wanahitaji kupewa ushirikiano wa hali ya Juu.

  Ninachouliza ni kuwa mbona sasa HATUJAWASIKIA Wanaharakati hao wakinyanyua "midomo" yao kupiga kelele dhidi ya uchomaji wa Makanisa yanayoendelea ndani ya Tanzania linalofanywa na watu wanaojiita ati "Waisilamu"? Kwani hawa wanaochomewa Makanisa yao wao siyo Binadamu?Kwani katika zile haki za msingi za binadamu uhuru wa kuabudu siyo mmoja wapo? Au nao ndo walewale wakina FEKI Sheikh PONDA?

  Tunawataka tuwasikie Wanaharakati wakiwatetea Wakrstu wanaochomewa Makanisa yao na hawa "Waisilamu". Tume ya Haki za Binadamu pia imekaa kimyaaaaa! hatahaiwezi kukenua meno jamani!!!!!!!tumechoka...

  NOTE: Ninawatia WAISILAMU na siyo Waislamu kwa sababu Waislamu wenyekuzingatia maafudisho ya Allah hawawezi kamwe kushiiki kuchoma makanisa!
   
 2. k

  kitero JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taasisi za kiraiya za haki za binadamu za hapa nchini zina tetea watu kwa ubaguzi angalia kuawa kwa kamanda polisi mwanza zipo kimya. kukojolewa msahafu waislamu zipo kimya. kuawa polisi zanzibar wao kimya.wana mtetea ulimboka,mwangosi na mbowe.hii sio haki teteeni watu wote angalieni nchi za wezetu.
   
 3. T

  Top Cat Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wote watetewe sawa, lakini kukojolea msahafu ni sawa kwa sababu mwislamu kautoa ukojolewe, sasa wewe ulitaka dogo aunyee kabisa?
   
 4. T

  Top Cat Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kukojolea msahafu ni sawa kwa sababu mwislamu kautoa mwenyewe ili ukojolewe, sasa wewe ulitaka dogo aunyee kabisa?
   
 5. D

  Dr.Who Senior Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Na tukimwambia ainame........
   
 6. T

  Top Cat Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mlimwambia akojoe akakojoa, mkimwambia ainame si atawakojolea tena?
   
 7. A

  Amani kwa wote Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora hata umewakumbusha wajibu wao hao vibaraka wanaojiita wanaharakati za haki za binadamu wakiongozwa na yule mama mwenye kiherehere
   
 8. M

  MWINA-TANZANIA Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tasisi hii ni sauti ya wasi
  o na sauti,naomba ufwati
  lie.mfano:katika issue ya
  ULIMBOKA nani anamse
  mea?haya MWANGOSI ?
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kazi ya taasisi za kutetea haki za binadamu ni kutetea binadamu bila kujali imani yake wala mafungamano yake. Nadhani LHRC imeishatoa tamko kutaka serikali ijadiliane na hawa wanaozusha vurugu ingawa huu ni mtego. Maana serikali ikifanya hivyo itaonekana inapendelea upande mmoja na kuacha mwingine. Hapa tunapaswa kulaumu wazazi waliowafundisha watoto ushirikina na uongo kuwa mtu akikojolea au kuharibu korani anageuka mjusi au kufa jambo ambalo si kweli. Tujilaumu wenyewe kwa kuwa na imani kibubusa.
   
 10. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Nyamaza Top Cat kakojoe ukalale.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Nyamaza Top Cat kakojoe ukalale.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. T

  Top Cat Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wapi quran? mkojo umenibana wallah!
   
 13. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Nyamaza Top Cat kakojoe ukalale.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Utawezaaa? Au nguvu mdomo tu.
   
 15. T

  Top Cat Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ilete niiporomoshee mkojo wa njano
   
 16. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Inaonyesha una udhaifu wa akili.
   
 17. T

  Top Cat Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na wewe una udhaifu wa nguvu za kiume
   
 18. c

  chicco JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  hakuna taasisi za haki za binadamu bongo ndg yangu........yapo mavuvuzela ya baadhi ya watu!fujo ambazo hazihusishi cdm haziwahusu!
   
 19. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wewe ndo una usingizi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. N

  NO EXCUSE JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Huo ndio ubaya mbegu ya udini katika jamii. Ni vita mbaya kuliko ya kisiasa.
  Hao wanaharakati tunaotaka watoe matamko tukumbuke ni wanazi au waumini wa dini mojawapo. Katika ofisi moja iwe ya chama cha siasa kama chadema au ccm hata hao wanaharakati kila mtu ni muumini wa dini mojawapo wa zinazobishana wakati huu. Na kila mmoja atakuwa na mtizamo au maoni yake kuhusu kinachoendelea. Sasa nani atoe tamko la taasisi wakati wanaotakiwa kutoa tamko hilo wengine ni wakristo na wengine ni waislamu?
  Nafikiri kakaa kimya imekuwa ndio option sahihi ya kuonesha nutrality ya taasisi hizi kwenye malumbano yanayohusu dini. Tusilaumu tu tufikirie kwanza.
   
Loading...