Kaeni macho tarehe hizi

Kaeni macho tarehe hizi

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,422
Reaction score
1,254
Tarehe:26/10/2012

- Maustadhi watakuwa wanavuta pumzi na kiranja wao baada ya vurugu nyingi
pale kilimanjaro. naomba kila mmoja afuatilie kitakachosemwa

Tarehe:27/10/2012
1-Kale kaugomvi ketu na MALAWI katakuwa kanajadiliwa,baada ya kukwama kwa siku nyingi
2-uchaguzi wa madiwani kata zote tanzania utafanyika, tukumbuke kupitisha MAKAMANDA

Tarehe:29/10/2012

-Hapa sasa wana CDM na wapenda maendeleo itabidi tushike mioyo, maana KAMANDA LEMA atakuwa mbele
ya pilato kwa hukumu ya mwisho. ambapo dalili zote zinaonesha kwamba hukumu hii itategemea matokeo
ya tarehe hiyo hapo juu(2).
 
Join Date : 3rd April 2012
Posts : 18
Rep Power : 333
Likes Received0
Likes Given0

Asanteeeee!!!
 
Tarehe 27 kutakuwa na mahafali ya postgraduate wa chuo kikubwa tanzania yatakayofanyika mlimani city.GT wenye shahada za uzamivu na uzamili tunakaribishwa
 
Tarehe:26/10/2012

- Maustadhi watakuwa wanavuta pumzi na kiranja wao baada ya vurugu nyingi
pale kilimanjaro. naomba kila mmoja afuatilie kitakachosemwa

Tarehe:27/10/2012
1-Kale kaugomvi ketu na MALAWI katakuwa kanajadiliwa,baada ya kukwama kwa siku nyingi
2-uchaguzi wa madiwani kata zote tanzania utafanyika, tukumbuke kupitisha MAKAMANDA

Tarehe:29/10/2012

-Hapa sasa wana CDM na wapenda maendeleo itabidi tushike mioyo, maana KAMANDA LEMA atakuwa mbele
ya pilato kwa hukumu ya mwisho. ambapo dalili zote zinaonesha kwamba hukumu hii itategemea matokeo
ya tarehe hiyo hapo juu(2).

muhimu
 
Ahsante sana umenifikirisha.
 
Kwa nini mnapenda kuhusisha dini mahala ambapo hapatakiwi?
Hii tabia si nzuri kabisa!
Kwa nini msibadilike? Kila leo yale yale.

Mungu walaani Ccm na Eaislamu washindwe kama shetani mbele ya Yesu Kristo
 
Kama kila mjadala lazima uhusushe dini na siasa! hatujijui tuko wapi!!
 
Tarehe:26/10/2012

- Maustadhi watakuwa wanavuta pumzi na kiranja wao baada ya vurugu nyingi
pale kilimanjaro. naomba kila mmoja afuatilie kitakachosemwa

Tarehe:27/10/2012
1-Kale kaugomvi ketu na MALAWI katakuwa kanajadiliwa,baada ya kukwama kwa siku nyingi
2-uchaguzi wa madiwani kata zote tanzania utafanyika, tukumbuke kupitisha MAKAMANDA

Tarehe:29/10/2012

-Hapa sasa wana CDM na wapenda maendeleo itabidi tushike mioyo, maana KAMANDA LEMA atakuwa mbele
ya pilato kwa hukumu ya mwisho. ambapo dalili zote zinaonesha kwamba hukumu hii itategemea matokeo
ya tarehe hiyo hapo juu(2).

Halafu waislamu wakija hapa wakasema wewe ni mdini...na chadema ni chama cha kikristo, utawajibu vipi ?

(a) Hawajasoma
(b) Wanafuga majini
(c) Magaidi
Chagua jibu saihihi
 
Back
Top Bottom