Bendera za Uamsho zashushwa Zanzibar nzima

Bendera za Uamsho zashushwa Zanzibar nzima

brasy coco

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
1,489
Reaction score
900
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI
 
kuna mazuzu yataingia hapa sasa hivi kutetea uamsho kwa kivuli cha uislam .... huu ni ujinga
 
Duh kwani hawa magaidi walikuwa mpaka na flag,basi hatuna sirkali.
 
hawakawii ma ze ze ta kuingiza hoja za kidini kisa uamsho kwanza jamaa mwenyewe naskia wanamniaje!
 
Siku zote serikali ilikuwa wapi au ndo mpaka achinjwe Afande ndio mnashtuka.Na hii radio imaan itafungiwa lini au mpaka isababishe mauaji.CCM bwana
 
wangewaacha wajitete kidogo......labda wangekuja na ushahidi kuwa hawasambazi chuki ndani ya jamii......
 
Back
Top Bottom