Baada ya Rushwa kukithiri: Uchaguzi UVCCM kurudiwa!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Rushwa kukithiri: Uchaguzi UVCCM kurudiwa!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, Oct 24, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,911
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Vijana wa Mkutano mkuu wa UVCCM TAIFA sasa wanatafuta sahihi za wajumbe wapatao 350 ili kupinga Matokeo ya kidhalimu yaliyopatikana kwa njia ya Rushwa

  Hali ni tete vijana wamekutana Nyerere square wanafanya maamuzi magumu.

  Kila la kheri vijana najua majemedari wa Mara na Mbeya wako pamoja nanyi.

  Mpaka naweka uzi huu saini 300 zimekwisha kupatikana.
   
 2. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Halafu utasikia TAKUKURU kimyaaaaaaa!..wanataka wampitishe nani Ally Hapi Salum?
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,544
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Duuh!Sasa unasema kama vile tayari imeshakuwa confirmed kuwa uchaguzi unarudiwa,si umesema wanatafuta sahihi?watu wengine bana!

  Anyways,hizo sahihi 50 zilizobaki si nyingi sana,lakini bado ulichotakiwa kusema ni "Uchaguzi UVCCM pengine utarudiwa",halafu uanze kwa kusema "Endapo sahihi 50 zitapatikana..."
   
 4. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,911
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Makosa ya kiuandishi
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,407
  Likes Received: 81,437
  Trophy Points: 280
  Magamba inanuka rushwa
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Yale yale ya arumeru kwasasa ni vigumu kutenganisha ccm na rushwa.
   
 7. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Karagabaho hakuna jipya hapo, kwa ccm hata wakirudia mara mia atakayeshinda ni yule atakayetoa rushwa kubwa zaidi ya wengine! kwa ccm kila mgombea lazima atoe rushwa anayeshinda ni yule aliyetoa zaidi ya wengine! Kwa ccm hamna uchaguzi nawashauri badala ya kuwa wanapoteza muda kukutana kupigia kura jina la fisadi zaidi, wawe wanatangaza tu kila anayetaka kuwa kiongozi wa ccm apeleke furushi la pesa pale lumumba atakaye peleka nyingi kuliko wengine ndiye mshindi na wale walioshindwa hawatarudishiwa pesa zao maana itakuwa chakula ya wazee wa lumumba!
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wakirudia wana uhakika gani rushwa haitakuwepo?
   
 9. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,544
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Hapana,si makosa ya kiuandishi,ni makosa ya kimaamuzi,umeamuwa kuandika kuwa "Uchaguzi kurudiwa",sasa niambie hayo ni makosa ya kimaandishi kivipi?Uko darasa la ngapi?makosa ya kimaandishi ukimaanisha typo?
   
 10. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Kwa nini wasidai chaguzi zote zirudiwe, kwa nini iwe UVCCM tu? Ni kama vile rushwa imeonekana kwa vijana tu...na kama sivyo mbona bado watashirikiana na wazee (wake kwa waume) waliochaguliwa kirushwarushwa?
   
 11. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Wafuasi wa Huyu jamaa wa tahliso wana mambo, hakuna uchaguzi mpya UVCCM , Makonda na wenzako laleni.
   
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hata ukirudiwa bado rushwa itakuepo lazima watoto wa vigogo wote wapitishwe....so mnapoteza mda kutafuta hizo signatures....ccm chama cha kifamilia poleni
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kama ushuzi na blanketi, endapo itatokea hivyo hilo litakuwa tusi kwa amiri jeshi mkuu aliyesimamia uchaguzi na kuasa rushwa na maadili ya uchaguzi kuzingatiwa.
   
 14. u

  utantambua JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wenye chama hawana imani na chama chao.

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 15. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Katika sifa chache kuu za chama chetu cha CCM, ni kuwepo kwa RUSHWA katika chaguzi zake za ngazi zote.
   
 16. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Rushwa rushwa rushwa, hawa jamaa sijui wataachana lini na huyu mdudu
   
 17. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makonda huyo ni chadema tu lazima asingekubali, ngoja tuone
   
 18. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unafiki unafiki tu unawasumbua, wamezidiwa dau na kina fred lowasa & riz1, ntakua mtu wa mwisho kumwamini mtu yeyote wa ccm
   
 19. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Bado kuna majemedari ndani ya CCM? Au unazungumzia majemedari wa rushwa na ufisadi? Ujemedari aliondoka nao Nyerere. Waacheni wafu wawazike wafu wao
   
Loading...