Waziri wa nchi afisi ya makamo wa pili wa Rais Zanzibar Mh. Mohammed Aboud
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imevitaka vyombo vya ulinzi na usalama nchini kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini...
"Kisaidieni sana Chama chetu..., tunasemwa sana na jamii, kuwa uongozi (CCM) unananunuliwa..." JK, akifungua Mkutano Mkuu UVCCM jana.
JK ameonekana kutahayari sana na rushwa kutamalaki chaguzi za...
The Tanzanian government has said the current move it has taken of reclaiming the portion of Lake Malawi is not taking advantage that Malawi has a female president, Mrs Joyce Banda
Speaking...
Balozi Libereta Mulamula ana kila sifa za kuwa mwana diplomasia aliyebobea kwenye masuala ya conflict resolution. Kwani kwa kiasi kikubwa alikuwa mstari wa mbele wa kusuluhisha mgogoro kule kwenye...
Imekuwa ni kawaida kwa makada wa CDM waliopo JF na katika uongozi wa kitaifa KUPAYUKA kwa mambo yasiyowahusu;
1- CCM Mbeya imechagua timu dhaifu
2. Uchaguzi wa UWT umetoa timu mbovu
3. Uchaguzi...
Kumbe matapeli walishamshtukia huyu waziri long time, na kuanza kutumia jina lake kutapeli?
NOTE: Suala la matapeli kutumia jina lake kutapeli lilitokea kabla ya kulikoroga kule Afrika ya Kusini...
Habari wakuu?!
Jamani kuna hili ambalo limetokea asubuhi ya leo katika wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza ambapo Diwani mmoja wa kata ya Kasenyi wilayani humo ameshindwa kutoa tarifa ya kata yake...
Imeandikwa tarehe 24 Oktoba 2012 na Oscar Job | HabariLeo
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) ameahidi kufuatilia utungwaji wa sheria ya udhibiti wa kodi za pango itakayounda mamlaka ya...
Mambo mengi yamesemwa humu ndani kuhusu uhusiano wa Lowassa na Jakaya Kikwete na ile hoja kwamba wawili hawa hawakukutana barabarani inajulikana na kila mmoja wetu. Lakini Historia inaonyesha...
Leo katika vyombo vya habari nimemsikia Mh. Mbowe akiitaka serikali itunge sheria au kuingiza kifungu kwenye katiba kinachohusu makabidhiano ya utawala kutoka chama kimoja na kingine.Amesema kwa...
rais kikwete ametahadharisha vitendo vya rushwa vinavyoendelea ndani ya chaguzi za ccm kwamba vitaibomoa ccm ambayo tayari imeshaanza kupoteza imani kwa wanachama wake na makada wake ambapo tayari...
Pamoja na Bw. Kikwete kubadilisha Mawaziri hivi karibuni ikiwemo wizara ya Maliasili na Utalii bado hujuma ikiwemo biashara HARAMU ya pembe za Ndovu imekuwa ikiendelea hapa nchini.
Taarifa...
wadau tuijadili serikali ya ccm hapa ilipofikia.
nani anayebisha kuwa hatupo pale walipofikia waliokuwa wanajenga mnara wa babeli ili kumfikia mungu.
nani asiyeona uwezo wa kiongozi mkuu wa...
Mheshimiwa Rais atoa hotuba kali kwa vijana ambayo inalenga kuwajenga na kuwataka wafanye tathmini ya kutosha kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa ngazi ya Taifa ya Jumuiya hiyo ya...
Vyama vya siasa ndivyo vyenye fursa kubwa ya kututeulia wagombea wa Uraisi kwa mwaka 2015 hata katiba ikibadili na kuongeza mgombea binafsi hakuna jinsi mgombea binafsi anaweza kushinda kwenye...
Kanisa la Kiinjili la Kipentekoste Tanganyika limemshauri Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete kutoa tamko la kufuta chaguzi zote zizogubikwa na rushwa ndani ya...
Viongozi wa nchii hii wanapaswa kutafuta suluhu ya matatizo haya yanayosababisha maandamano na machafuko kwa kutafuta kiini hasa cha tatizo hili vinginevyo amani ya nchi yetu itakuwa tumeiweka...
HARAKATI za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeingia katika hatua mpya baada ya kuvuja kwa taarifa za kuwapo mkakati wa kuwapa nafasi wanasiasa wanawake na kuwatosa wanaume kwa kile...
Haijawahi kutokea nikawa na hamu na kikao cha bunge kama kinachotarajia kuanza October 30 mwaka 2012. Hii imetokana na fao langu la kujitoa kutoka NSSF ambalo tangia naacha kazi nilikuwa...
We are driven by self-interest, its necessary to survive. But we need wise self-interest that is generous and co-operative, taking others interests into account. Co-operation comes from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.