Mpwapwa: baada ya CCM kuzidiwa makalama ya kampeni wakimbilia police | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpwapwa: baada ya CCM kuzidiwa makalama ya kampeni wakimbilia police

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ebaeban, Oct 24, 2012.

 1. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,833
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Kutokana na kampeni kali za kiti cha udiwani kilichopo wazi baada ya diwani DR. Maiseli kufariki , kampeni hizo ni kati ya CHADEMA,CUF, NA CCM. Lakini mchuano mkali ni kati ya mgombea wa CCM ambae ni George Fuime,na wa CHADEMA ambae ni Mpina Baharia.

  Kadri siku zinavyoendelea Mgombea wa CCM anakuwa hakubaliwi sababu ya kisomo chake kidogo na kwamba alishinda kura za maoni kwa sababu alitoa rushwa kuwazidi wenzie wa CCM ambao walikuwa ni wazuri lakini walikuwa hoi kifedha ile yeye ndugu george Fuime kwa kuwa aliuza ngo`ombe basi aliibuka kidedea.

  Sasa wanainchi hawamukubali na kwenye kampeni zake mahudhurio ni hafifu. Kuona hivyo leo wameenda kushitaki polisi eti CHADEMA wanafanya maeneo ambayo hayako kwenye ratiba. Polici waliwafuata kitongoji cha Ilolo wakawapa tifu na kuharibu mpango kazi

  MY TAKE: police wanatumiwa bila wao kujuwa au ni maelekezo toka kwa mkuu wa wilaya baada ya kuona CCM wamezidiwa katika kipindi hiki cha lala salama na Mgombea wa CCM ameishiwa kabisa fedha ameanza kuuza mahindi.
   
 2. n

  nemasisi JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 1,881
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkoa wa dodoma umekuwa chini sana kwenye masuala ya mageuzi, kama hata mpwapwa ccm wanapata taabu mpaka wanalazimika kuuza ng'ombe na mahindi basi hali ni mbaya kwao. Endeleeni kuwabana hata kama watatumia uchawi
   
 3. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nakumbuka tukiwa MPwapwa sekondari, tulikuwa shule ya kwanza kuzomea mwenge kutokana na kuona ni upotevu wa muda kusubiria mwenge na kuacha masomo. nadhani wana mpwapwa wanaendeleza M4C lililopandwa la kukataa sera zisizotekelezeka.
   
 4. l

  lerai Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mpwapwa ya leo sio mpwapwa ya jana ni kiwa kama mwana mpwapwa na jua tume fika hapo tulipo kwa sababu ya ccm sasa na waomba wana mpwapwa wenzangu mliopo nje ya mpwapwa kama mimi na mliopo mpwapwa ku achana na ndoa na ccm na kuanza maisha mapya na chadema kwani hata hawa ccm wali kua kama chadema miaka ya 1960 sasa mpwapwa ccm basi kwani nia ya kumuondoa mkoloni mweusi ccm tunayo mpwapwa kwa umoja tuna weza kumuondo mkoloni huyu mweusi
   
 5. C

  Concrete JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hao dawa yao ni ndogo sana, ni kupita nyumba kwa nyumba kwa lengo la KUElimisha, KUHamasisha na KUWaunganisha wananchi wote kwa mtindo wa
  1/Kuwatia moyo kwa Kuwashika mikono wapiga kura wote.
  2/Kumwaga sumu ya maovu ya CCM
  3/Kuwaamsha kwa slogan ya Peopleeees poweeeeer
   
Loading...