Silinde atisha mbunge wa Mbozi magharibi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Silinde atisha mbunge wa Mbozi magharibi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DMA, Oct 24, 2012.

 1. D

  DMA New Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatimae mbunge wa mbozi magharibi aanza kutekeleza ahadi zake mapema leo ameleta gari la kuchimba visima na mpaka hivi sasa kazi hiyo imeanza rasmi wakazi wa tunduma full shangwe
   
 2. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  GO Silinde.
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ahsante kwa taarifa mkuu!!
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Safi sana kamanda!
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kanyaga twende!
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Heko Silinde, wee komaa na kazi tu waache magamba waendelee kutuwakilisha nje ya nchi na kuwadanganya watu kwamba Tanzania muungano wa Pemba na Zimbabwe na ulifanyika mwaka 11964
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kheee kumbe ukileta gari la kuchimba visima unatisha
   
 8. s

  swrc JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutekeleza ahadi kama hizo ni muhimu
   
 9. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha haa....M4C si ilikuwepo huko (Vwawa Mbozi) jana sijui majuzi...jamaa kaogopa vugu vuvgu lisije mkumba! Hongera kwa kuanza kushughulikia ahadi zako, lakini sio mpaka ushurutishwe Silinde!
   
 10. M

  MR.PRESIDENT Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana kamanda.Lakini usisahau kukomboa jimbo la Ileje na pia mbozi mashariki
   
 11. N

  NOSVELA Senior Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongera kwako mh Silinde
   
 12. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  mkuu gari ya kuchimba maji bado sema amekodi gari ya kuchimba visima ameanza na visima 4
   
 13. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama kwa miaka 50 wao wameshindwa basi huyu anatisha.
   
 14. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanachotaka wananchi ni maji awe amekodisha au amenunua si la muhimu kwa sasa.
  miaka yote CCM wao walikuwa wapi wasikodishe?
   
 15. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania bila mafisadi ccm inawezekana...tutumie tu kura yetu vizuri
   
 16. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  David silinde, 25 yrs of age, b com graduate 2010, first employment ni member of parliament 3 months after university, as kamaliza july then august akaingia bungeni kupitia chadema... Na sasa ameanza ukombozi huko mbozi...

  VIJANA TUNAWEZA TUPEWE NCHI 2015 tuwaoneshe wazee kazi zinavyofanywa,,, kwanza kazi zote we stremlined them zinafanyika kwa system ambayo kila mtu anaona,, na zinafanyika kwa outlook tunawekana in copy nchi nzima kuanzia za mjumbe wa nyumba kumi hadi raisi anaona follow up zinavyoenda.. Hakuna magumashi kila kitu kinakuwa stremlined hakuna zengwe hata uingie mkataba wapi kila mtu anaona... TUPENI NCHI VIJANA maana WAZEE MMESHINDWA
   
 17. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  mkuu mweshimiwa alisha ahidi gari yamaji gari bado yupo kwenye michakato
   
 18. Z

  Zimamoto JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 464
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ukombozi wa Ileje ni kweli unahitaji elimu na hamasa kutoka nje ya Ileje. Nilishuhudia kwa masikio yangu wakiwasifia magamba eti kwa sababu mkuu wa kaya na mke wake ni weupe. Kwa upande wa Mbozi Mashariki ukombozi wake unatakiwa utoke ndani, kwani kasoro iliyojitokeza ilikuwa ni ulinzi wa kura. Hazikulindwa vizuri, vinginevyo ushindi ulikuwepo tena wa kishindo.
   
 19. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Amechelewa mno. Jimbo lile hawakawiagi kubadili mbunge. Alikuwepo mbunge machachari Eliakimu Simpasa, akaja Luka Siame, na sasa David Silinde. Sijui 2015 atafuata Si-nani (bila shaka Sinkala mimi)
   
 20. themagainst

  themagainst Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mbeya nawaaminia
   
Loading...