Ushauri kwa kamanda J.J.Mnyika

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
wewe ni muhimu sana kwa Taifa hili,ijapo una majukumu mengi ila jaribu kuizunguka nchi yako pia pindi unapopata mda
 
wewe ni muhimu sana kwa Taifa hili,ijapo una majukumu mengi ila jaribu kuizunguka nchi yako pia pindi unapopata mda

Ushauri huu kwa Mnyika hautekelezeki. Kama anashindwa kuzunguka jimboni kwake ndo ataweza kuzunguka nchi? Huyu dogo bure kabisa!
 
Ushauri mzuri ila ungeenda mbali zaidi kwanini umemshauri azunguke nchi nzima na pia ungetujuza aliwahi itajika mahali akagoma?
Kwa wadau wanaosema kashindwa lizunguka jimbo hawa mtendei haki maana ni majuzi katoka kutufahamisha kuwa amepeleka madai tume ya haki za binadam kuhusu haki ya maji kwa wana goba na mengine sasa wewe unataka amtembelee kila mtu nyumbani kwake ndo uridhike?
 
kwangu huyu ni icon hapa Tz na kwa hapa alipo ni muhmu akacover gap la vijana ka K.Z ambao wanaharbu reputation ya vjana
 
Kazi anayofanya mnyika ndo kazi anayopaswa kufanya mbunge, kuzungumza matatizo ya wananchi na taifa kwa ujumla, kushauri na kuelekeza masuala ya kimaendeleo bungeni, namkubali sana mnyika.
 
mbali ya kusikika watz wanataka kumwona na kufahamu wh's J.J.M so far? coz leo yy ni kiongozi wa taifa na si jimbo tena.
 
Wanao sema j.mnyika haonekani jimboni hawasemi kweli au hawaja fuatilia naomba niseme.kwanza kabla ya bunge la bajeti 2012_2013 chadema jimbo la ubungo waliandaa kongamano la chama na kupanga ziara ya kichama iliyo husisha viongozi wa chadema jimbo viongozi wa kata na mbunge j.mnyika ziiara ilifanyika kuanzia tarehe.01/09/2012 ambayo imemalizika juzi tuu.sasa wewe unaesema mnyika haonekani Hutendi haki unaonyesha una upungufu wa akili yaani wewe ni mjinga.
 
Ushauri huu kwa Mnyika hautekelezeki. Kama anashindwa kuzunguka jimboni kwake ndo ataweza kuzunguka nchi? Huyu dogo bure kabisa!......

Mkuu hujamtendea haki mnyika. Mnyika ameenda kata zote si mara moja. Ametatua matatizo mengi na mengine mchakato unaendelea kuanzia barabara, maji, utetezi wa haki za wamachinga.

Amechangia michango mingi kusaidia wananchi ktk maeneo mengi sana. Kati ya wabunge watakaorudi kwa kishindo mwaka 2015 kwa kishindo kupitia Chadema ni Mnyika. Mark my words, huu uzi utakuwepo pia 2015.
 
Ushauri huu kwa Mnyika hautekelezeki. Kama anashindwa kuzunguka jimboni kwake ndo ataweza kuzunguka nchi? Huyu dogo bure kabisa!

Sidhani kama poster kamaanisha kuzunguka tu.Maanake kama ni kuzunguka tu,tayari tunaye kiongozi anayefanya kazi hiyo ya kuzunguka ili mradi tu amezunguka.Kweli Mkuu wa kaya anakaribia kuimaliza dunia ingawa hawezi kuwa mgunduzi kama Columbus au Vasco Dagama.Tukemee tabi ya uzururaji
 
Ushauri huu kwa Mnyika hautekelezeki. Kama anashindwa kuzunguka jimboni kwake ndo ataweza kuzunguka nchi? Huyu dogo bure kabisa!
mbopo utakuwa umerongwa unataka azunguke jimbo gani kama aliporudi tu kutoka dodoma alianza ziara ya kata nane za jimboni kwake na moja alifanya na waziri wa maji kwa ajili ya kufungua visima vya maji. maeneo aliyozuru ktk ziara ni kama yafuatayo tarehe 1/9 alikua kata ya msigani, 2/9 kata ya mbezi, tarehe 14/9 kata ya mburahati, tar 15/9 kata makuburi, 16/9 kata ya kwembe, tar 21/9 kata ya mabibo, tar 22/9 kata ya goba na tar 23/9 kata ya kimara na tarehe 4-5/10 alifanya ziara na waziri wa maji maghembe kuzindua visima vya maji kwa kata ya mburahati, kimara na saranga. na akirudi kutoka dodoma katika bunge la mwezi huu atamalizia ziara kwa kata sita zilizobaki ya ubungo, makurumla, manzese, saranga, kibamba na sinza. naomba uwepo katika ziara itakayoanza ktkti ya mwezi wa 11. karibu sana.
 
J.K anatalii kuchumia utumbo wake,mie nimesema JJM azunguke ili akaimarishe chama vijana badala ya Z.K kupwaya..quote me
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom