Karibuni Kwenye Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere-Jumapili 14 Oktoba-Nkrumah

Kitila Mkumbo

JF-Expert Member
Feb 25, 2006
3,354
1,943
UDASA & ITV

Wanawaletea

Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere

Mada Kuu: 'Nini Jukumu la Kihistoria la Vijana Tanzania katika Kumuenzi Mwalimu Nyerere?

Tarehe: Jumapili 14 Oktoba 2012
Muda: Saa 8.00 mchana hadi Saa 11.30 jioni(2.00pm-5.30pm)
Ukumbi: Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Wazungumzaji Wakuu

1. Ndugu Deus Kibamba
2. Mheshimiwa Jerry Silaa
3. Ndugu Esther Wasira
4. Dk Vincesia Shule

Wote Mnakaribishwa
 
Safi sana. Nimesikia itv wakitangaza kuwa litaonyeshwa live itv na radio one
 
Vijana ni vizuri kwa mtazamo wa kisasa, wazee tumewasikiliza mno na matokeo ni hapa tulipofika. Tunataka watu wapya wa kutuokoa kutoka katika shimo hili la umasikini.
 
Kitila Mkumbo,

Mkuu mngetafuta na wazee walioishi enzi za Mwalimu nao wakatoa neno wakati wa hilo kongamano. Tungepata historia mwanana badala ya vijana watupu.

Nitakuwepo
Kutakuwa na wachangiaji wengine nadhani hao ni wazungumzaji wakuu tu, wazee watapata pia nafasi ya kuchangia hoja za hao vijana. Wazee hawawezi kuwasemea vijana ila vijana waseme na wazee wachangie
 
Mkuu
Naona mmekosa kabisa wazungumzaji ama? Kibamba na Mh J.Silaa, hawana credibility ya kuwa wazungumzaji, kwenye kongamano kubwa kama hilo la wanazuoni, tena ni UDASA!!.... huyo Kibamba ni mropokaji tu.. ni mtu wa ndimu mbili, hafai, Silaa nae ndio kabisaa, anaishi maisha gani? Kibamba usanii anajitengenezea jina ili apige pesa kwa wafadhili, Silaa.. uchaguzi UVCCM... hamna kitu hao.kwa vyovyote vile hao hawana connection nzuri ya maisha yao na mada tajwa!

Mkuu, kwenye familia ya Nyerere hakuna Kijana/mtu mzuri wa kuweza kuwa ni mzungumzaji mnatuwekea hao wasanii?
Ni kwanini magongamano ya Mwl. Nyerere huwa hamhusishi na familia yake?

Sijafahamu sifa walizotumia UDASA na ITV kuwaalika hao wawili kuwa wazungumzaji. ndio maana huwa nasema hakuna mtu hapo UD atakaeweza kuziba pengo la Prof. Chachage.RIP

Kongamano hilo ni kubwa ila limefanywa kuwa ni rahisi tu, Nitafika ama kuangalia ITV, kuwaona/ kuwasikiliza hao wawili (Blue) kwa kuwa siwafahamu, ila Prof. Chachage kafa na UDASA yake. full stop.

Mwisho! Kuna wana JF wangeweza kuliko hao wasanii hata Ritz TUMBIRI Mungi chama mikaelPAwenda benSaanane mwaJ na wengine kibao
 
Unanishambulia mie unaniita kilaza kisa nimetoa maoni yangu waongeze wakongwe kwenye kongamano, sasa wewe ambaye sio kilaza sijui umechangia nini?
 
Last edited by a moderator:
Kweli wewe ni kilaza, haya ni maambo ya kitaaluma, kongamano lipate NGUVU, kwani imekuwa ni mikutano yenu ya UVCCM, ili kurushiana viti? kuongeza nguvu za nini...

Nyie Pro-Chadema JF kila sehemu siasa tu, ebu tuambie sifa ya kuhudhulia hilo kongamano unatakiwa huwe na taaluma gani?
 
Naomba kuuliza,

Hivi ITV inapatikana online kwa namna yoyote ile?
 
Unanishambulia mie unaniita kilaza kisa nimetoa maoni yangu waongeze wakongwe kwenye kongamano, sasa wewe ambaye sio kilaza sijui umechangia nini?
bado unasadifu hilo jina ona unavyojigonga!!! waongeze wakongwe ama nguvu? ndio ukilaza wenyewe huo, umesahau kitu cha dakika60 tu, ndio huitwa umelaza yaani kilaza....soma nayoyaita maoni yako ya kwanza na unachosema sasa
 
Pompo, usimhukumu mtu bila ya kumsikiliza. Ikumbukwe pia kila mtu atapewa nafasi. Kwanini tusipate mawazo mapya mnataka tusikilize yale yale ya siku zote....?
 
Namfahamu Mwalimu kidogo. Nitajitahidi niwepo. Watafuteni na wale wa upande mwingine wa Mwalimu akina Mohamed, Zomba, FaizaFoxy,...,
 
Back
Top Bottom