Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mikael P Aweda, Jul 13, 2012.

 1. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.

  Updates 1

  Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa Chadema kanda maalum ya Dsm.

  UPDATES 2
  Waliokuwa polisi ni Dr Slaa na Lema tu. wameambiwa warudi Jumatatu. Nimeambiwa na Mmoja wa waliokuwepo eneo la tukio kuwa Dr alisisitiza kuwa wafanyie kazi taarifa za nyuma kwanza ndipo wawahoji.

  UPDATE 3
  Mosi walitakiwa kituoni ni Slaa na Lema tu.
  Pili, wameshaachiwa wote, wametakiwa kurudi jumatatu.
  Tatu, baada ya pale waliongea na waandishi wa habari na Dr Slaa aliwasisitizia kuwa lazima wafanyie taarifa za awali (Wenje na Mbunge mwenzake) ndipo wawe na sababu ya kuwahoji kuhusu sakata hili jipya
  .
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wanataka kuwafanya nini sasa!au ndio kulazimisha waeleze juu ya zile shutuma,serikali ya ccm inatapatapa kama mfa maji
   
 3. T

  Tanzania tunayoitaka Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makamanda wa cdm Katibu wa chama, mwenyekiti wa chama, na mbunge aliye likizo wamekamatwa alfajir ya leo na kufikishwa central dsm, km kawaida nguvu ya umma tuungane kupigania haki..
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hv Dk.Ulimboka anaendeleaje?
   
 5. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kamanda Mbowe, Dr Slaa na Lema wako central, tuungane kwenda pale ili tutumie nguvu ya umma asubuhi hii. Saa ya ukombozi ni sasa.
   
 6. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  haya sasa kazi kwelikweli
   
 7. h

  hans79 JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Haraka za nini,kwani una tumbo la kuharisha?
   
 8. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Unaweza kupeleka n'gombe kwenye mto lakini asinywe maji!
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  We keep our ears open mkuu! tupe updates!
   
 10. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280
  ngoja tusubiri
   
 11. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Manyanga chini ngoma juu.
   
 12. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Watawakamata mpaka lini?hivi wanashindana na nguvu ya umma?
   
 13. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280
  hivi hawa ccm niaje?kumbe slaa yupo dom? Au central ya wapi?
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Central ya wapi?? na kisa ni nini??
   
 15. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  nina wasiwasi wa kuchomwa sindano za sumu au za kutia uzezeta..confirm habari hizi tukalichome pori la mabwepande kabla hawajawapeleka kule
   
 16. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Zilikuwa tetesi muda mfupi uliopita lakini punde zimekuwa taarifa kamili kwa hisani ya poli-ccm.
   
 17. t

  tume JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  lazima watoe ushahidi wa tuhuma walizozitoa, wasituharibe amani yetu kwa uroho wa madaraka
   
 18. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  hata mimi nimepigiwa cm wapo central fahamisheni vijana wote matawini...
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Polisi nao wanahitaji ukombozi. Waacheni makamanda wakaihubiri injili ya ukombozi kwa polisi wetu labda watafunguka!
   
 20. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  heshima kitu cha bure...angalia rika la kuliandikia utumbo huu ndugu yangu
   
Loading...