Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini hatuendelei?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Anthony Lawrence, Oct 25, 2012.

 1. A

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mwalimu Nyerere alipata kusema kuwa ili tuendelee tunahitaji kuwa na mambo manne:

  1. Watu
  2. Ardhi
  3. Siasa Safi
  4. Uongozi Bora

  Mpaka sasa nchi yetu bado iko nyuma kimaendeleo. Mimi nafikiri No.3 na No.4 kwenye hiyo orodha ndilo limekuwa ni tatizo kubwa sana kwetu Watanganyika. Siasa zetu ni chafu na zimejaa wanafiki.Pia kwa upande wa uongozi, kwa sasa tuna viongozi ambao wanalazimisha wawe viongozi kwa gharama yoyote ili wapate nafasi nzuri ya kula bila kunawa.

  Tufanyeje ili tujinasue na hali hii? Mimi binafsi inaniumiza sana . Siku hizi mtu anasifiwa kwa kuwa na mali ambazo amezipata kwa njia isiyo halali.
   
 2. JAPUONY

  JAPUONY JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 372
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Good question! hebu kamuulize JK wenu anaweza akawa na jibu!
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 12,662
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kwa sababu waislamu ni wengi Tanzania.
   
Loading...