Pole sana Mama Shupavu Anna Killango

Status
Not open for further replies.

UTAJUA

Member
Apr 4, 2012
68
17
Pole sana Mama Shupavu Anna Killango, Lakini pia nakulaumu wewe kuwa kigeugeu ndio maana hata huo Uchaguzi wamekuzunguka na wamekushinda, Huwezi kuwa Chumvi tthe Same time Sukari.

Nazani timu ya Mh. Iliona Anna Akishinda basi Mafisadi na Hata Nafsi ya Uenyekiti wa Mh. Kikwete Ungekuwa Hatarini.
 
Ana Killango Inasemekana Mafisadi walikuogopa kuwa Ungeshinda Uenyekiti wa Wazazi, Ungeweza Kusababisha Mwenyekiti wa CCM wa Taifa Mh. Raisi asingepita,

Kwani Inasemakana Sophia Hakuwa na Sifa za Kukushinda wewe, Pole sana.
 
Ana Killango Inasemekana
Mafisadi walikuogopa kuwa Ungeshinda Uenyekiti wa Wazazi, Ungeweza
Kusababisha Mwenyekiti wa CCM wa Taifa Mh. Raisi Hasingepita,

Kwani Inasemakana Sophia Hakuwa na Sifa za Kukushinda wewe, Pole
sana.

kilango hana impact tena,amekuwa mnafk na kigeugeu na ndicho kilichomponza.ni kwel anaweza kuwa na uwezo kiutendaji ukimlinganisha na simba,bt kashindwa kuchanga karata zake well hayuko kwa mafisad na upande wa wapambanaji anaonekana mnafki na mganga njaa tu.
 
Alisahau SULULU kwa hivyo HAPAKUCHIMBIKA.......she lost and the son lost too........this family need to retire from politics of CCM
 
alisema sema "kama pesa ya EPA haitorudishwa patachimbika" ilikuwa bungeni vip cjuwi pesa ilirudishwa na ushahahidi anao mmmhhh

mama vuguvugu mtaka yote kwa pupa
 
nadhani atapunguza mdomo rightnow!!maneno mengi kumbe simba wa maonyesho
 
huyu mama biashara yake ilishaisha zamani hata utaguzi wa 2010 alishinda kwa bahati sana
 
Pole sana Mama Shupavu Anna Killango, Lakini pia nakulaumu wewe kuwa kigeugeu ndio maana hata huo Uchaguzi wamekuzunguka na wamekushinda, Huwezi kuwa Chumvi tthe Same time Sukari.

Nazani timu ya Mh. Iliona Anna Akishinda basi Mafisadi na Hata Nafsi ya Uenyekiti wa Mh. Kikwete Ungekuwa Hatarini.

Anne hana lolote huyo. Ni mchumia tumbo kama ilivyo sera ya CCM. Kelele nyingi zinatokana na mmewe kuukosa urais, ambayo ilikuwa ni ndoto yake kabla ya Nyerere kumtolea uvivu.
 
Namshauri aende akaendelee na ile sinema yake kwenye ile misitu kule same.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
...AnnE Kilango alianza vizuri lakini inaonekana kuna mahali ametulizwa..... sio yule tunayemfahamu.....
 
Si mpambanaji, ni mchumia tumbo kama wengine. Chezea Lion wewe! Unajua anakozitoa pesa zake?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom