JK alitaka mtoto wa nyoka asiwe nyoka!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK alitaka mtoto wa nyoka asiwe nyoka!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamayu, Oct 25, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  JK aliwaomba UVCCM kukataa rushwa na kuikwepa katika uchaguzi wao ili kuinusuru CCM. Lakini hilo lilikuwa ni sawa na kutaka mtoto wa nyoka asiwe nyoka kwani UWT rushwa tupu. Sasa yametimia kuwa hata wale ambao wanaandaliwa kuwa viongozi wa CCM na nchi tayari ni wazuri katika rushwa na samaki mkunje angali mbichi sasa samaki hawa wamekwisha kauka.

  Rai yangu kwa watanzania ni kwamba hatuitaji kusikiliza kampeni hapo 2015 bali maamuzi yazingatie matukio kama haya. Nawaomba CCM waongeze alama ya noti hasa dollar kwenye ile nembo yao ya chama!!!
   
Loading...