Chadema sio chama sahihi cha mabaliko

kiwaya

Member
Oct 6, 2012
62
9
Vijana wengi tunaitaji mabadiliko ya KIUCHUMI,KISIASA NA KIJAMII ila CDM sio chama sahihi cha mabadiliko nasema haya kwa baada kufanya uchunguzi wa kina na kugundua kuwa hiki ni chama ambacho kinawatumia vijana kwa kuwapotosha ni si kuwajenga kupambana na Changamoto! Juzi tu Jijini Mwanza tumeona Mbunge wa CDM akitoa pesa ya kuandika mabango na kununua viroba ili wamzomee Waziri mkuu wa Tanzania kwel Chama hiki sio Sahii kwa madiliko! Viongoz wajuu wa CDM ndio chanzo kikuu cha kuanzisha vulugu na fujo ukiaangalia Arusha Katibu mkuu wa CDM Dr Wilboard SLaa anawashawishi wananchi wakavamia kituo Cha Polsi huyu kiongoz alikuwa hana nia nzur, pia Kiongoz huyu Alitamka maneno haya km CDM haita shinda nchi haita karika anamaana alikuwa tayar kuingia mstuni hii ina maana yeye ni Kiongoz asiyekubari kushindwa! Pia ni kiongoz mwenye uruho na madaraka na sio kuwakomboa watanzania! Ni wabunge wa CDM ndio waliongoz Bungen kutomtambua Rais hii inamaanisha wanakataa maamuz ya wananchi wa Tanzania walipoamua kumpa Ridhaa kuwa Rais, Wabunge wa CDM ndio waliokuwa mstari wa mbele kupinga posho, mishahara na magari ya kifahar ya wabunge ila hii wanatembelea Magari yale yale Kifahar na posho na mishahara wanapokea km kweli walikuwa na nia nzuri kwanin pesa hizo wasipokee na kuzileta kwenye shughuli za maendeleo! Watanzania ni muda muafaka sasa wa kutafakar kwa kina sio Tudananywe na maneno, VIJANA TUNAITAJI MABADILIKO KAMWE CHADEMA SIO CHAGUO SASA KWETU
 
Nonsense kabisa, sijui unaandika kwa kutumia mpododo.!!!
nadhani still una akili za mgando.
 
Bado ninamachungu kwa makanisa yaliyochomwa...Tafadhali leo ni Jumapili tusiharibiane siku mkuu..
 
Ajira yako iko matatani lazima nipunguze posho yako
 
Nyau wewe... Pepo toka.. Toka toka.. Toka pepo... Na ushindwe na ulegeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
gambaaaaaaaaaaa. Na tulizomeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hilooooooooooooooooooooooooooooooo
huna aibu.......... Pimbi weweeeeeeeeeeeeeee
 
mtasema sana tu.lakini mwendo ni ule ule....persistance persistance persistance.....mtaelewa tu.
makamanda 2.jpg
 
mkuu huko vijijini wameelewa na kukubali nakushangaa wewe mwenye access na keyboard unajitoa akili.

cdm kijiji.JPG
 
Nonsense kabisa, sijui unaandika kwa kutumia mpododo.!!!
nadhani still una akili za mgando.

Tengeneza hoja hapo ntakuana huna wazo mgando! Kama kweli una akili timamu tafakari sio unamezeshwa sumu nawe unakunywa na kung,ang,ania kuwa ni soda UTAKUFA
 
Nani kakulazimisha ujiunge CDM?Kajiunge na Sheikh PONDA mtakuwa watu wa mabadiliko
 
Tengeneza hoja hapo ntakuana huna wazo mgando! Kama kweli una akili timamu tafakari sio unamezeshwa sumu nawe unakunywa na kung,ang,ania kuwa ni soda UTAKUFA

Jamani msimlaumu huyu bado yuko ngumbaru
 
Kunawa2 wanakuwa kivutuo cha uwekezaji wa matusi kwao, acha 2 tuvumilia, tuambia basi anawaongelea vijana wapi UVCCM?
 
Jamani tujaribu kujenga hoja, unapotoa matusi napata wasiwasi mkubwa na upeo wako wa kufikri, tubadilike sio mtu ukiambiwa ukweli unaanza kutoa matusi hii inamaanisha hujui chochote unapelekwa na mawazo ya mtu. TUACHENI AKILI ZA KUSHIKIWA
 
Mkuu kiwaya, nadhani ungetambua kuwa hakuna kilicho kikamilifu( INGAWA simaanishi hakiwezi kuwepo).

Ungewaeleza "hao vijana" au "sisi watanzania" kuwa CHADEMA si chama sahihi hasa labda kwa sera zake, mipango mibovu n.k kwa kuonyesha huko kutokuwa SAHIHI ni kupi? na si kwa udhaifu wa kufikirika uliouonyesha!

Nimefurahi uliposema, "CHADEMA si chama sahihi cha (MABADILIKO)"..Inaonyesha kuwa unatambua kuwa kuna mabadiliko yanayopaswa kufanyika!
 
MKUU NATMAI NNAPE KAKUWEZESHA, MAANA IZI NI PUMBA ZA KIPUMBAFU FR CCM LZM ZINAUWEZESHO WA DHAIF et al
 
Back
Top Bottom