Habari zenu wana jamvi ningependa kujulishwa sera za vyama vitatu chadema, cuf na ccm ili niweze kufanya maamuzi na sio kujiingiza katika ushabiki. Tafadhali nawasilisha.
CHADEMA ni chama cha itikadi ya mremgo wa kati (center party with orientation on market economy). Wapo wengine wanasema itikadi ya CHADEMA imekaa ki-conservative zaidi.
CUF inafuata itikadi ya uliberali ambayo inalenga kuwazindua wananchi waweze kuitumia neema waliyopewa na Mungu kwa manufaa yao binafsi na taifa kwa ujumla.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.