Sheikh Farid Hadi Ahmed...Kulikoni?

Sheikh Farid Hadi Ahmed...Kulikoni?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
486
Nimekuwa nikiangalia taarifa mbalimbali za habari na kuangalia pia picha za huyu jamaa. Nimestushwa zidi kuwa huyu jamaa aliwahi kuwa mwanjeshi! Hilo sio baya sana ila kwa hili la kutumia alama ya CDM linanipa wasiwasi kidogo!

Soon mtasikia chama hiki kinahusishwa na huyu jamaa! Inawezekana kabisa ukawa mpango mkakati wa jumuiya hii ya JUMIKI hasa Sheikh Farid kupandikizwa kama mbegu ya CHUKI dhidi ya Watanzania kuamini kuwa CDM ni chama chenye vurugu!

I might be wrong but we have to connect the dots! Kwa nini anatumia alama hii maarufu kwa chadema hasa wakati huu akiwa anamulikwa sana na vyombo vya habari. Kwenye siasa wanasema kuna mchezo mchafu! Is this one of the dirty game? am just thinking!
 
Alama ya V si ya chadema bali ya ushindi. Hii alama ilikuwepo hata kabla ya kuwepo kwa chadema. Hii aihitaji shahada kujua.

Nakubaliana na wewe kabisa na sina ubishi na hilo ila ni wewe unajua hivyo je wenzangu wa huku mamndenyi tunajua hilo?
 
Mnajua sema mnajifanya kutojua. Mbona mnajua kuwa ni alama ya Chadema kama hamjui? Sasa naamini mmejua na julishaneni ili wote mjue mnachopaswa kujua.
 
I might be wrong but we have to connect the dots! Kwa nini anatumia alama hii maarufu kwa chadema hasa wakati huu akiwa anamulikwa sana na vyombo vya habari. Kwenye siasa wanasema kuna mchezo mchafu! Is this one of the dirty game? am just thinking!

Alama ya ya "V" ni kuashiria neno "Victory". Kwa hiyo si alama ya Chadema, hata CCM, CUF, NCCR nk mnaweza kuwatia moyo wawe wanaonyesha "V" kwenye mikutano yao kuonyesha wanashinda kama vile tu Chadema!
 
Nimekuwa nikiangalia taarifa mbalimbali za habari na kuangalia pia picha za huyu jamaa. Nimestushwa zidi kuwa huyu jamaa aliwahi kuwa mwanjeshi! Hilo sio baya sana ila kwa hili la kutumia alama ya CDM linanipa wasiwasi kidogo! Soon mtasikia chama hiki kinahusishwa na huyu jamaa! Inawezekana kabisa ukawa mpango mkakati wa jumuiya hii ya JUMIKI hasa Sheikh Farid kupandikizwa kama mbegu ya CHUKI dhidi ya Watanzania kuamini kuwa CDM ni chama chenye vurugu!
I might be wrong but we have to connect the dots! Kwa nini anatumia alama hii maarufu kwa chadema hasa wakati huu akiwa anamulikwa sana na vyombo vya habari. Kwenye siasa wanasema kuna mchezo mchafu! Is this one of the dirty game? am just thinking!
Na je kama huyo Farid alikuwa anamueleza huyo askari kuwa walikuwa wawili kwenye hilo sakata? Kwani kufanya hivyo vidole ni ishara ya Chadema tu? Na mbili kwa vidole unaionyeshaje sasa? Only narrow-minded people can have such kind of a notion!
 
tafsiri ya kitu au jambo hutegemea sana elimu,wakati,mahali na nia ya anayetafsiri!kwa kuwa watz wengi ni mburula,na kwakuwa wengi wao ni bendera tu,ni rahisi sana kubadilishwa mawazo na wapuuzi wachache.Nakubali nembo ya v ni ya enzi na enzi lakini tusipuuze ukweli kwamba siasa za bongo ni mshikemshike ndege tunduni!
 
Na je kama huyo Farid alikuwa anamueleza huyo askari kuwa walikuwa wawili kwenye hilo sakata? Kwani kufanya hivyo vidole ni ishara ya Chadema tu? Na mbili kwa vidole unaionyeshaje sasa? Only narrow-minded people can have such kind of a notion!

Mbona povu linakutoka! Hata hivyo huyo askari huyo sio mpelelezi wala maudhui hayalingani na utetezi wako
 
The V sign is a hand gesture in which the index and middle fingers are raised and parted, while the other fingers are clenched. It has various meanings, depending on the cultural context and how it is presented. It is most commonly used to represent the letter "V" as in "victory"; as a symbol of peace (usually with palm outward); as an offensive gesture (palm inward); and to represent the number 2. It was adopted by the 1960s counterculture movement as a sign for peace.
 
Kwani mtuhumiwa anapokuwa mikononi mwa Polisi ni lazima aulizwe swali na Mpelelezi tu? By the way, unajuaje kama huyo askari siyo mpelelezi? Ina maana maaskari wote wapelelezi na wapelelezi wasio maaskari wote unawajua?
 
Can we say that Sheikh Farid "V" sign is for victory? If yes victory on what?
 
Kwani mtuhumiwa anapokuwa mikononi mwa Polisi ni lazima aulizwe swali na Mpelelezi tu? By the way, unajuaje kama huyo askari siyo mpelelezi? Ina maana maaskari wote wapelelezi na wapelelezi wasio maaskari wote unawajua?
You are very general brother. Inaonyesha ulivyo! Sio kosa lako! Ukiona mtoa mapovu ujue kuna pahala limemgusa! Sorry chap!
 
Mbona povu linakutoka! Hata hivyo huyo askari huyo sio mpelelezi wala maudhui hayalingani na utetezi wako
Kwani mtuhumiwa anapokuwa mikononi mwa Polisi ni lazima aulizwe swali na Mpelelezi tu? By the way, unajuaje kama huyo askari siyo mpelelezi? Ina maana maaskari wote wapelelezi na wapelelezi wasio maaskari wote unawajua?
 
Yaani unashindwa kuelewa hata maana ya alama v?

Aliyekwambia sijui nani? Mimi nimetaka kujua matumizi yake! Matumizi ya tooth brush ni kinywani ukitumia kwenye tundu la choo sio matumizi yake!
 
Nimekuwa nikiangalia taarifa mbalimbali za habari na kuangalia pia picha za huyu jamaa. Nimestushwa zidi kuwa huyu jamaa aliwahi kuwa mwanjeshi! Hilo sio baya sana ila kwa hili la kutumia alama ya CDM linanipa wasiwasi kidogo!

Soon mtasikia chama hiki kinahusishwa na huyu jamaa! Inawezekana kabisa ukawa mpango mkakati wa jumuiya hii ya JUMIKI hasa Sheikh Farid kupandikizwa kama mbegu ya CHUKI dhidi ya Watanzania kuamini kuwa CDM ni chama chenye vurugu!

I might be wrong but we have to connect the dots! Kwa nini anatumia alama hii maarufu kwa chadema hasa wakati huu akiwa anamulikwa sana na vyombo vya habari. Kwenye siasa wanasema kuna mchezo mchafu! Is this one of the dirty game? am just thinking!

Mbona kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani? Umesema sheikh farid...ahmed, unamanisha nini?
 
Yah its politics, dirty games blah blah blah.................kumbe CDM inatwanga kotekote kwa UAMSHO na Katoliki........Waunguja/Pemba hadi Kaskazini.........lol
 
Mbona kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani? Umesema sheikh farid...ahmed, unamanisha nini?

Usichoelewa nini sasa. Ukisikia Faridi Sungura we unafikiri sungura mnyama! Sungura nalo jina kama Hadi lilivyo jina mkuu!
 
Alama ya V si ya chadema bali ya ushindi. Hii alama ilikuwepo hata kabla ya kuwepo kwa chadema. Hii aihitaji shahada kujua.

hata mi nashangaa wanavosema ni alama ya chadema wabongo bana utafikiri wamezaliwa juzi..hiyo alama imekuepo tangu enzi za malcom X
 
Back
Top Bottom