Prof. Songorwa ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wanyamapori | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Songorwa ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wanyamapori

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wild fauna, Oct 23, 2012.

 1. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Profesa alexandra songorwa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wanyamapori katika wizara ya maliasili na utalii.
  Profesa songorwa alikua mkuu wa idara ya usimamizi na uhifadhi wanyamapori(wildlife management derpartment) pale SUA.
  Namjua sana huyu prof alikua mwalimu wangu pale SUA kiukweli ngoma imepata mpigaji.
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  wakifikaga huko wanabadilikaga
   
 3. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Watajuta kwa kweli
   
 4. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kwa dizain hii wizi wa mali asili hautaisha kamwe
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Maswali mawili naomba unijibu:
  1. Aula maana yake nini? What does this connote?
  2. Theories za darasani unadhani ni applicable in real situation? Huku kuna human elements which do not follow scientific principles. Unadhani ata-perform kwa sabababu alikuwa mwalimu mzuri? Kwa vile ame-publish sana?
   
 6. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  unasema aula maana yake nini?? Ina maana huko ni kwenda kula vya denzo???? Hebu uwe maini na maneno kama hayo, kumbuka mwalimu alishakataa kukimbilia ikulu.........................
   
 7. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tunakutakia kila la heri Prof. Songorwa. Tunatumaini utaenda kutumia utaalamu wako kwa manufaa ya Taifa na siyo kuongoza kwa matakwa ya watu wanaotaka kujinufaisha wenyewe. Pia tunaomba uende kushughulikia madai yetu ya kurudisha wanyama wetu (nyara za serikalia) waliotoroshwa.
   
 8. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  MOD tunaomba urekebishe heading, naona inapotosha ama kupindisha hoja. Like: "Prof. Songorwa ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa wanyama pori katika wizara ya mali asili na utalii"
   
 9. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kuna maprof wangapi wamefanya madudu ya kutisha natoa mifano tu Jumanne Maghembe kulealikopita kunanini zaidi ya kuzomewa? Mwakusya alikopita naweza kujivunia nini? Jumanne Dihenga pale elimu kama katibu anafanya nini?
   
 10. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kujidhalilishaji tu .. anaacha uprofessor for ukurugenzi ktk wizara! Bora hata kwenye ukuu wa wilaya angekuwa uhuru wa kuamua cha kufanya
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ameula wabongo bwana kila mahali watu wanawaza pesa
   
 12. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,028
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Mnyama Pori humjui huyo Prof. Kwanza alisafanya kazi idara hiyo na kituo chake cha kazi kilikuwa Kingupira. Alikimbilia SUA baada ya kfanya madudu huko. NI mtu wa makundi na visasi. Pale SUA aliwahi kumkamata mwanafunzi kwa kosa la kufanana jina na aliyekuwa mkuu wake wa kazi Kingupira.

  Yangu macho kuona ufanisi wake.

  Bazazi!
   
 13. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Tunamtakie kheri na aanzie na uchunguzi wa pembe za ndovu zilizoko Hong Kong.
   
 14. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mkuu "BAZAZI" kumbe unamsoma vizuri huyu prof eee? Ni kweli alikua akifanya kazi kule selou game reserve kwenye kituo cha kingupira.
  Umaarufu wake ulitokana na kukosoa sera za wanyamapori na ndio chanzo cha yeye kutimuliwa,
  kiukweli huyu jamaa ni jembe kwani yupo strictly ila ni mtu wa visasi na hataki ushauri,he always believe what he say its right.
  Pale sua alikua akifundisha WILDLIFE POLICIES AND LEGISLATION,WILDLIFE UTILIZATION.
  Nategemea mapinduzi makubwa kutoka kwake katika wizara
   
 15. M

  Magurudumu JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,751
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Nimesoma majina ya waliopitia SUA tangu Songorwa aajiriwe lakini jina la mtu anayeitwa "Wild Fauna" sijaliona. Inaonekana umeandika jina la uwongo. Kwa nini unajificha msomi mzima? Hujiamini? Unatarajia uandike upuuzi huku JF?
   
 16. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku hz jk anawafurahisha kweli jf maana huyo angekua prof.issa au prof.mrisho povu lingewatoka kwa kulala mika anaweka waislam lakini huyo kila mtu ana msifia pumb...zenu
   
 17. M

  Magurudumu JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,751
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kideghesho ni muislamu lakini, umesikia wa2 wakilalamika? Wewe ni mmoja wa wachochezi wa kidini.
   
 18. J

  Jembe_Ulaya Senior Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Amechukuwa nafasi ya nani?
   
 19. M

  Mmeku Tukulu Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Prof. Songorwa can perform,let me tell you. Alitokea idara hiyo hiyo ya maliasili ndio akaenda SUA. Ameshawahi huwa mkuu wa kanda kingupira (selous) na ni mtaalamu mzuri wa community based conservation kwa hiyo suala la human elements lisikutie hofu.
   
 20. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  to be academician and to be field man something different and there is gap between them!
   
Loading...