Umri umemtupa mkono Sadifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umri umemtupa mkono Sadifa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MADORO, Oct 26, 2012.

 1. M

  MADORO Senior Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi kuumwa ugonjwa wa akili akiwa jeshini hali iliyofanya apumzishwe kwa manufa ya umma, tafadhali mwenye taarifa sahihi juu ya hayo atuwekee kwa ufafanuzi zaidi
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Duh! Tuhuma nzito hizi.
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  La mgambo likilia kuna jambo.....
   
 4. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Nimependa hapo tu!
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  La kuumwa ugonjwa wa akili ni kweli kabisa....
   
 6. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Kwa nini wewe ukaweka ilihali unajua huna taarifa kamili? acha kuwakashfu watu bila sababu. ingefaa ungeuliza mwenye kujua umri na historia ya mtajwa mpaka anaacha jeshi
   
 7. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,399
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  ........unafiki kama wako ndio unaotumaliza, hata hivyo mimi sina shaka na lowassa ni mpiganaji, akiongea, ni sounding voice, pamoja na kwamba amewachagua akina Kilimba wale wa Iramba wasiojua mbele wala nyuma yeye bado ana nafasi kwangu..... BRAVO ELN, ni wewe wa kutuokoa, pamoja na kwamba utahitaji kurudisha gharama zako za kuhonga ufanikiwe, ni bora, mbona tulienaye mambo ni yale yale !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe lazima uwe mwathirika wa ushindi wake. Si bure.
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kama huna taarifa unaweka uzi wa nini? Ingawa siwapendi magamba, vile vile sipendi watu wanaotumia chuki zao kuja na vitu visivyo na ushahidi wala utafiti. Tunapaswa kushikilia kanuni hata kama kesi tunayoshughulikia ni ya shetani. Kuna kipindi mahakama hutupilia mbali wa maana kutokana na watu kuupata kwa kutufuata kanuni hasa chini ya kiitwacho conscriptive evidence. Circumstantially kesi hii ingekuwa inaletwa mezani kwangu ningeitupilia mbali bila kujali ukweli wa kinachoongelewa kutokana na jinsi kilivyopatikana. Go back to the drawing board mwanangu uje na ushahidi wa kimakwelini badala ya hearsay.
   
 10. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kama bw. Sadifa ni chizi maana yake yeye ndio anakanafuu kidogo, waliobakia wote ni vichaa kabisa, jeshi lilimkataa ccm imemkubali, ama kweli ccm linakufa vibaya
   
 11. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,529
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  Ugonjwa wa akili??????


  salaaale!!
   
 12. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  mbona wewe ni km ndumilakuwili?
   
 13. i

  iseesa JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sawa Mkuu lakini; KUUMWA Ugonjwa wa Akili ni Tafauti na KUUGUA Ugonjwa wa Akili
   
 14. D

  DSM Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu nasikia yule makamu wake ni chakula cha beno, beno ndiye alimpigia chepuo hadi akachaguliwa
  Yaani huyo mdada eti amepita kutokana na kutoa rushwa ya ngono hata shigela ne pia anammega.
  dada noma kweli yaani kawachanganya wot 2.
  safi sana mdada ure fighter, umeweza tumia vizuri kiungo ulichopewa bure na Mungu
   
 15. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Aliye msafi ndani ya CCM awe wa kwanza kumtupia mawe Sadifa...

  Jibu ni hakuna msafi CCM, ukiwa CCM either ni fisadi au umegushi vyeti vya elimu au umegushi vyeti vya kuzaliwa au umetoa na kupokea rushwa au unajikomba ili ukombolewe au uliwahi kuua mtu au mwizi wa wake za watu na uliwahi kufumaniwa au unatembea na watoto wa kike wa shule au ni Paedophile... ndio wana CCM mlivyo
   
 16. P

  PYU JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  anaweza kuombewa na mzee wa upako akawa safwi,chama kwanza mengine baadae
   
 17. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Hivi wwe hujui kwamba karibu MAGAMBA wote wana UMWA UGONJWA WA AKILI?
   
 18. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimewahi mapema, endeleeni kujadili nitarudi kufunga mjadala kwa busara.

  Mimi Babu yenu wa Utegi Mara.
   
 19. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duh yaani ndani ya CCM hakuna kinachopita kikawa salama!! Umri tena na ukichaa? Yale yale ya Masauni.
   
 20. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haya mambo ya umri kwenye hivi vyama vyetu ni kizungumkuti. Kila asiye na madaraka makubwa bado ni "kijana" wewe unadhani kweli Heche hajafikisha miaka 35 inayomtaka aachie uongozi wa BAVICHA!?
   
Loading...