Ni Kweli Maggid Mjengwa Waandishi wa Habari ni Wachochezi tena Sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Kweli Maggid Mjengwa Waandishi wa Habari ni Wachochezi tena Sana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NdasheneMbandu, Oct 24, 2012.

 1. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau,
  Leo jioni nimemsikia Mdau Maggid Mjengwa akichangia kwenye mjadala ulioendeshwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC kuhusu vurugu za kidini zilizoibuka hivi karibuni Dar es Salaam na Zanzibar. Ameongea mambo kadhaa lakini kubwa lililobigusa na kuhusu tabia ya vyombo vya habari hususan magazeti kuibuka na vichwa vya habari vinavyoashiria moja kwa moja uchochezi. Ametoa mfano kwamba inaweza kutokea mtu mmoja ama mwislam au mkristo amefanya jambo la kukashifu dini nyingine. Sasa badala ya kuandika fulani kafanya hiki na kile, magazeti yanaibuka na vichwa vya habari tena kwenye kurasa za mbele vyenye mwelekeo wa kujumuisha kundi zima la dini fulani. Utasikia "Waislam wafanya fujo", au "Wakristo wakasirishwa".

  Bw. Mjengwa amewaasa waandishi wa habari kuacha uandishi wa kichochezi kwani mataifa mengi yametumbukia kwenye mauaji ya halaiki kwa sababu kama hizo za uchochezi wa kidini.

  Nimeandika uzi huu kumuunga mkono Brother Maggid. Hakika tusipowakemea waandishi wa habari wa aina hii wa redio, magazeti, TV, n.k. tutaishia pabaya na bila shaka taifa letu litaangamia.
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Msiwalaumu waandishi wanangu. Wao huandika kile ambacho jamii inayonunua magazeti au kusikiliza vyombo vyao inachotaka. Kama walaji yaani wasikilizaji au wasomaji wasingependa huo 'uchochezi' nani angeuandika? Nadhani Mjengwa angekuwa wazi kuwa kuna vyombo vya habari vilivyoanzishwa kwa kusudi la kufanya uchochezi mfano magazeti kama Al-Nuur, Al Huda, Tazama, Mtanzania, Mzalendo, Uhuru, magazeti ya udaku ya Shigongo, radio Iman na vyombo vingine vya kipuuzi kama hivi. Tatizo kubwa kwa vyombo tajwa ni kutokuwa na wasomi katika taaluma husika. Inashangaza serikali nayo inavipa usajili bila kuvifuatilia. Kimsingi hata wahubiri na wahadhiri wetu ndiyo wa kulaumiwa. Ukiwasikiliza matapeli kama Mazinge, Rico, Ponda, Matata, Muawiyya, Rwakatare, Gamanywa, Mwakasege, Kakobe, Lusekelo na wengine wengi waliotamalaki utajua nimaanishacho. Hapa kinachofanyika si kuhubiri dini bali uongo na chuki ili kupata riziki toka kwa mabwana zao wanaowatuma. Kazi kwa wananchi kuwa macho na wenye welewa kubaini nani nabii wa kweli na nani mbweha kama walivyotabiriwa.
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa alichosema Maggid. Waandishi wa habari ndiyo wachochezi namba moja wa masuala yanayoibua hisia kali za jamii. Mwandishi utaandikaje waislam au wakristo wamefanya jambo fulani wakati mtu mmoja au waili ndiyo waliofanya hilo jambo!! Ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi, ningeanza kwanza kushughulikia waandisho wa habari kabla ya kuendelea na akina shekhe ponda.
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Leongo kuu na vyombo vya habari hasa vya binafsi ni kutengeneza faida hasa ya kifedha na mbinu ya kutumia vichwa vya habari ni nzuri mno...sidhani kama ni makosa kwao kufanya haya kama wanaohusika kuwakemea wamelala usingizi wa pono
   
 5. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Angewaasa na wa humu JF wapo wengi sana
   
 6. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njaa,wivu na ofcoz..................ukanjanja ndo sababu!
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa habari ya NJAA nakubaliana na wewe kabisa.
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  vichwa vya habari ndio vinavyouza magazeti nakumbuka hata lowassa alishalalamika kuhusu baadhi ya magazeti unakuta kichwa cha habari kinasema LOWASA AMUONYA JK akawa anashangaa hajawahi kumuonya jk hata siku moja sema ndio inabidi mzoeee
   
 9. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimependa sana mchango wa Majid mjengwa, Hellen kijo Bisimba na january Makamba aliniboa Prof Sharif kutoka Zanzibar
   
 10. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata hapa JF tunaandika maandishi ya kishabiki na uchochezi tunapowakilisha taarifa hususan mbaya kwa taifa letu, mtu mmoja au kikundi cha watu wachache kuwafanya wanawakilisha kundi kubwa
   
 11. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Tena wengi mno, wamefurutu ada.
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  Mjengwa hayuko mbali na ukweli. Vyombo vyetu vya habari vimekuwa vya kishabiki bila utumiaji wa taaluma ya kiuandishi, ninachoshangaa hata wahariri wakuu wa vyombo hivyo ni vihiyo tu. Kama waandishi wa kawaida bado hawajakua kitaaluma ya uandishi nina hakika chombo cha habari cho chote kitajitahidi mhariri mkuu kuwa mwenye taaluma na uwezo wa kuweza kuhariri habari za chombo anachosimamia. Vinginevyo tuna publishers ambao wapo wapo tu kwa majina makubwa na kuvuliwa kofia bila ukweli wa hali halisi ya uwajibikaji wao.

  Mhariri Mkuu kwa dhana ya uwajibikaji na hadhi yake jukumu lake ni kupitia news zote kabla hazijawa published, ndio maana ya kubeba jina zito la publisher wa newspaper publication. Binafsi ningeelekeza lawama kwa mhariri mkuu kwa vile ndiye mwenye kubeba uzito wa habari zote zinazochapishwa.

   
 13. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Huo mfano wa maggid ulikuwa unaongelea habari sahihi na si uchochezi.Too sad mwandishi ana hila mbaya.Waislam kweli walifanya fujo za kuudhi sasa alitaka nini?Sijui kachukua mfano mbaya au vipi ila soon waislam watamwaibisha kuliko anavyodhani.Anafanya jihad ya hupotosha malengo.Uamsho waliitwa wahuni sasa wamerudi wanaitwa waislam.magiid ajiandae kupakwa matope hadharani na watu kumkumbusha huo "uongo mtakatifu" wake.
   
 14. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Huyo Majjid si ndie yule ambaye huchakachua habari kw blog yake?
   
 15. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Well said mkuu, umesahau madktari wanao jitangaza kwenye RADIO, yaani ukiwasikiliza unajuwa kabisa hawajawahi kusoma Biolojia hata ya O-LEVEL. Utawasikia, unajuwa tuna komputa inayoweza kugundua magonjwa zaidi ya mia moja!! Wanacho sahau ni kwamba komputa haina akili kama binadamu ni mbumbumbu tu mpaka iandikiwe maelekezo na binadamu nini cha kufanya/kujibu word by word, bila kupewa command itabaki inakuangalia tu kama tahari!

  Ninacho taka kusisitiza hapa ni kwamba binadamu hawezi kuandika application programs za kijibu kwa usahihi kila kitu kuhusu magonjwa ya binadamu, mwili wa binadamu huko so complex ndio maana madaktari hata kama wamehitimu namna gani tunaambiwa wana-practice.

  Komputa inacho fanya ni kuingiza kwenye ports specs zitokanazo na sensor/transducers zilizo wekwa mwilini mwa mgonjwa au specimen za kama: tissue, blood, or urine nk alafu zinalinganishwa na information (database) zilizo wekwa na binadamu kwenye firmware au software za komputa yenyewe, ikisha maliza kulinganisha inatolewa printout/hardcopy ya majibu ambayo si lazima yawe ya kweli - hapo ndipo daktari aliye somea udaktari anaweza kukubaliana na majibu ya mashine yenyewe au kutumia mbinu nyingine zaidi to zero in to the real problem mashine notwithstanding. Sasa komputa zenye programs hizo zikiangukia mikononi mwa madokta Strangelove/NO utasikia/kuambiwa MENGI.
   
 16. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...vyombo vya habari kwa kiasi fulani ni kweli vinaweza kuwa sehem ya uchochezi,lakini chanzo ni hawa wanasiasa wa CCM walioishiwa sera...CCM baada kupwatwa na degedege la kisiasa imekuwa ikipepesuka na kuamua kujishikiza kwenye proganda za udini na ukanda...mbegu ya udini waliyoipanda imeota na sasa wanaanda shamba la kupanda mbegu ya ukanda kwa kuubiri kwenye majukwaa ya siasa ya kwamba "CHADEMA ni chama cha kanda ya kaskazini"...mbegu hizi mbili za udini na ukanda walizo panda CCM zitakapo kuwa zimekomaa na kutoa matunda,sijui watanzania tutakuwa wageni wa nani?...
   
 17. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  lets call a spade a spade!
  WAISILAMU WALINYA FUJO ZA KIPUMBAVU NA NI KAWAIDA YAO
   
 18. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hongera sana majjid.

  Ulichonena ni kweli hata mimi niliwahi kubainisha humu kwene uzi wangu kuwa waandishi wa Tz ni wachochezi.
   
 19. Kamisaa

  Kamisaa Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 20. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mm nimesoma magazeti karibu yote, nimesikiliza karibu redio zote na pia nimewasikiliza karibu wahubiri wote, katika kundi lako tafadhali nakushauri umtoe mhe. Askofu Kakobe, kwani sijawahi kusikia akitukana dini ya mtu. je ww umetoa wapi hizo habari za uongo. toa hoja. ila kwa vyombo vya kiislamu wanatukana sana wakristo na dini zao. sababu mojawapo mohamad ni dhaifu hana uwezo wa kujitetea hadi atetewe na viumbe wake ambao wengi wao ni maskini na dhaifu ambao hata kununua suruali ni kazi nao wanaitwa waislamu. huu ndio ukweli hata kama hamtaki kuukubali
   
Loading...