Hivi ni lipi hasa kosa la Edward Lowasa? Naomba kufahamishwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni lipi hasa kosa la Edward Lowasa? Naomba kufahamishwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by anophelesi, Oct 24, 2012.

 1. a

  anophelesi JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Naomba kuelimishwa waungwana!
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,394
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  kwani umeskia kakamatwa na polis ama kafunguliwa kesi?
   
 3. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,354
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mwizi anayeogopwa na Polisi na Takukuru period
   
 4. j

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,231
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Muulize kwanini alijiuzulu kama hana kosa,akikupa jibu urudi hapa utuambie kasemaje.
   
 5. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,819
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280

  kuutaka urais
   
 6. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Kuiba iba mamilioni ya kodi zetu utasafishwa kwa nguvu zo te. Thubutu kuiba kuku weeeeeee utanyea debe huku aliyekufanya uwe maskini akiendelea kutamba na kusema ni onyo kali kwa wengine.Period.
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,812
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  pole , umebwia kwenye dimbwi la kutokufahamu, kosa la lowassa ni kufanya kazi kwa bidii na hivyo kumu outshine boss wake, na kama matokeo ya hilo wapambe wakiongozwa na membe na zoka wakamtaarifu rais kuwa lowassa anajiandaa kugombea 2010 kukuangusha, rais akaogopa akamtengenezea lowassa mtego kwa ahadi kemu kemu na mwisho akamtosa. MEMBE NA ZOKA WABISHE HAPA, AU MMM AMBAYE NI SWAHIBA MKUBWA WA MEMBE ABISHE HAPA, ANAJUA A TO Z NA NDO SABABU ANAMPIGIA MEMBE KAMPENI KUPITIA JF
   
 8. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,834
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Kwanini umeuliza ivo
   
 9. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  Kwa bahati mbaya sana watu wana dozier la Lowassa nje ya system. Njia nzuri kwa mja huyu ni kuachana na siasa; atulie, ale hicho alichokipata huko nyuma pengine watu wanaweza kumstahi kwa kuwa hayuko peke yake mwenye tatizo kama lake katika nchi hii. Kuingia katika siasa za 2015, hata kama lengo ni jitihada ya kuilinda past, mi navyoona jitihada hiyo itafumua mambo mengi sana watoto watashindwa kutembea mitaani. Lowasa aachane na siasa.... that is my best advice for him. Kama Lowasa anayesemwa hapa ndo yuleyule wa AICC Arusha na Wizara ya Ardhi, basi Lowasa huyo aachane na siasa kabisa!
   
 10. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Tuambie kwanza, utajiri alionao lowassa aliupataje?
   
 11. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,864
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  whether ni jambazi or not, but I'd rather have him as Tz prez. than huyu Vasco Da Gama.
   
 12. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  You are discussing the present. In politics, the past can be just as damaging. Tatizo la Lowasa siyo present--ni past. Akipatikana msemaji mzuri (mbaya?) wa past yake watu wataunganisha dots na kumuelwa vibaya sana huyu bwana. I feel that is where the problem is
   
 13. M

  Mandi JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  lowasa ni mwizi kama wizi wengne kina mkapa na febrick simaye
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,489
  Likes Received: 34,987
  Trophy Points: 280
  Ni Mwizi katumia wadhifa wake ndani ya Serikali kuwaibia walipa kodi wa Tanzania. Sasa mtu ambaye tayari ana sifa ya ufisadi kwa miaka mingi tu anastahili kweli kuiongoza nchi yetu? Hivi katika population ya watu 45 millioni hakuna mtu ambaye hana sifa ya ufisadi kama huyu fisadi Lowassa ambaye anaweza kabisa kukabidhiwa ridhaa ya Watanzania ili aiongoze nchi kuanzia 2015!? Kwa maoni yangu wapo wengi tu.

   
 15. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  I don't buy these words mkuu unless huu mjadala wa richmond ufunguliwe tena na mbivu na mbichi ziwekwe wazi, watuhumiwa wachukuliwe hatua then jamaa awe clean.
   
 16. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,184
  Likes Received: 7,385
  Trophy Points: 280
  Kosa la Lowassa ni kuutaka uraisi kwa gharama yoyote ile!
   
 17. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,812
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Niambie wa riz one ambaye hajawahi kuwa hata hakimu wa Mahakama ya mwanzo
   
 18. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,864
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  Heri ya hao wezi kuliko Vasco da Gama
   
 19. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 1,987
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Lowassa ana matatizo mawili makubwa (1) Anapenda rushwa na ni mbinafsi wa hali ya juu (2) Anapenda sifa na anafanya vitu kwa ego na sio kwa nia ya kuleta maendeleo. Serehu zote alizokuwepo Lowassa alikuwa akifanya kazi kwa upendeleo na kwa rushwa kuanzia wakati akiwa AICC Arusha waligawa nyumba kwa rushwa , Akiwa wizara ya nyumba aligawa viwanja kwa wahindi na kuuzia nyumba za NHC kinyemela, amewahi kula pesa ya wanafunzi wa chuo, alikuwa kwenye deal ya Richmond na kuomba rushwa, amechukua amejipa ranch ya serikali kinyemela n.k na vilevile si mtu mwenye roho nzuri period
   
 20. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sio wivu bali chunga sana kuna wanaopenda vya kunyonga humu JF, vya kuchinja hawaviwezi!!!
   
Loading...