Tume ya warioba inajaribu kufurahisha Watanzania zaidi ya kutatua matatizo muhimu ya kiuchumi, kisiasa na hata kiutamaduni. Katiba inatakiwa kujibu swali mmoja tu ambalo ni " Je tutafanya nini ili...
Wababodi ktk pitapita zangu ktk wikipedia na page nyingine nimegundua kuwa Tanzania inaweza kuwa Tan kutoka Tanganyika na ~zania kutoka Azania .Azania ya zamani ambayo ilibeba visiwa vingi na...
Kazi ya CCM na Kazi ya Chama chochote, au Tasisi Yoyote, Ni Kazi Ya Mwanadamu"
Haiwezi kua Imekamilika Lazima Mapungufu yawepo, Kazi Ya Mungu Tuu Ndio Iliokamilika,
Tukosoane Kwa Lengo La...
Amehamia pamoja na wanachama wa chama cha TLP na wanaccm 23 hii leo na ikumbukwe mkutano wa juzi uliofanyika uwanja wa shuma mabalozi 5 wa nyumba kumi kumi na tawimoja kuhamwa na wote kuhamia...
Kiongozi wangu mhe. Mwigulu kwa sasa ni mti wenye matunda, kila mpinzani ana upiga mawe, na hii ndio inanipa faraja na furaha kuwa sijakosea kumpa kura yangu mhe. Mwigulu!!!
Mhe. Mwigulu...
Kufuatia kukamilika kwa Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Muungano wa Tanzania, mambo kadhaa yanaendelea kujitokeza ambayo yanahitaji kutolewa ufafanuzi. Moja ambalo mimi naliona ni kwamba kama...
Akiwa katika viwanja vya shule ya kiongwile mjini ifakara akimnadi mgombea udiwani wa kata ya ifakara dogo Peter lijualikali. Alizungumza mambo mengi lakini kubwa ni kuhusu rasimu ya katiba...
Nimeshangaa sana leo nilikuwa mkutano wa CDM kata ya Kimandolu ghafla nikaona kundi kubwa la vijana wanasukuma gari, kuangalia kwa karibu nikaona gari la Nape linasukumwa na vijana wanaimba "Lema...
Pamoja na changamoto mbalimbali chaa hiki kilizozipitia, bado kimeendelea kuimarika kila uchao uchwao. Kuna wale wanaobeza kuimarika kwa chama hiki, na kukifananisha na vyama vingine vya CUF na...
Mmoja wa mawaziri wataalam waliobobea kwenye masuala ya nishati na gas. Wakati anateuliwa na Raisi nilifurahi sana kwani alianza kutoa ahadi za wananchi kufungiwa umeme kwa muda wa mwezi mmoja...
Kikosi cha CHADEMA kutoka Musoma Mjini kilichosheheni magwiji wa siasa wanaofanya kazi bila kubahatisha kimeingia Serengeti kwenda kuongeza nguvu katika uchaguzi mdogo wa udiwani,kikosi hiki...
Nisimung'unye maneno. wizara ya Nishati na madini ilikuwa bora zaidi kipindi cha Mh. Ngeleja. Wafanyakazi walikuwa wanajituma. Utendaji umeshuka sana. Matatizo yalikuwepo lakini hayakuwa mabaya...
MURJI HURU KWA DHAMANA: Mbunge wa Mtwara aliyeshtakiwa kwa uchochezi, Hasnain Murji (CCM), ameachiwa kwa dhamana leo mchana. Kesi yake itasomwa tena Julai 4.
Kazi nzuri ya tume ya katiba kuwasikiliza wananchi wanataka nini hasa kuhusu muundo wa muungano wetu wanastahili pongezi. Swali ninalojiuliza kuanzia 2015, kama CCM hawakuvuruga maoni ya tume...
MADHAIFU 180 YA KIMKAKATI CHADEMA:Attack a Person, Not an Institution 1.29DEC
WADAU WENZANGU NA WAPENDA MABADILIKO WA TANZANIA,KUTOKANA NA MAWZO NA UFATILIAJI WA SIASA YA HAPA TANZANIA NA...
Wakati Wanatanganyika wanasua sua na mahakama ya kadhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa makadhi wa mahakama ya kadhi.
Kwa mujibu wa...
Hata kama CDM ikishindwa chaguzi za madiwani itatokana na wengi kutokua na vitambulisho, kwasababu watakaopiga kura ni waliojiandikisha 2010?
Ikumbukwe kuna waliouza kadi zao, na wanajilaumu sasa...
Wadau naombeni kwa waliotafiti kwanini kuna nakala mbili za rasimu ya katiba. Moja ni kopi halisi ya tume ingne haijulikani imetoka wapi je?? yaweza kuwa tume waliandaa kisha wakaitupilia mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.