Kikosi cha CHADEMA kutoka Musoma Mjini kuelekea Serengeti

otorokoko

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
2,437
154
Kikosi cha CHADEMA kutoka Musoma Mjini kilichosheheni magwiji wa siasa wanaofanya kazi bila kubahatisha kimeingia Serengeti kwenda kuongeza nguvu katika uchaguzi mdogo wa udiwani,kikosi hiki kinaongozwa na Fikiri ambaye ni katibu wa mbunge wa Musoma Mjini mh. Vincent Nyerere,Ibrahim a.k.a balaa,rasi na Baraka.
 
Habari njema sana wakuu;

Mfikishie John Ng'weina salaamu,

Tunawatakia kila la kheri makamanda.
Mungu ibariki Serengeti,
Mungu ibariki CHADEMA.
 
me kama marekani enzi hzo wababe walipokuwa wanaigawana AFRICA. daaaaah ngoja tuone japo najua sisi tunaopenda wanyonge tutashinda.
 
Endeleeni kujikongoja CHADEMA! Naona kama mnakimbiza upepo!

Kimbwe,Nani kakueleza unajidanganya Chadema haikimbizi upepo hata kidogo,j pili utaona moto Manchira ni tishio wana serengeti wamepigika na umaskini wakati wanashuhudia Kinana akiua tembo Serengeti.
 
Kumbe ni vita hasa mimi nilijua chaguzi za udiwani ni kawaida sana kumbe ni kasheshe.
 
Back
Top Bottom