CCM Mnalijua hili?

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Hata kama CDM ikishindwa chaguzi za madiwani itatokana na wengi kutokua na vitambulisho, kwasababu watakaopiga kura ni waliojiandikisha 2010?
Ikumbukwe kuna waliouza kadi zao, na wanajilaumu sasa, mfano Nakaya.
Kuna wale ambao kipindi icho umri wao haukuwaruhusu, lakini sasa wana hasira na nyie, lakini hawatapiga kura.
Kuna wale ambao kipindi kile hawakupiga kura, kwasababu 2010, walikua nje ya vituo vyao kikazi, na kimasomo.
Kuna wale ambao sasa wamepata elimu ya uraia na wamajua chama la kweli.

Je 2015, mtatoka?
 
CCM chama kubwa, walala hoi ndio wametupa matumaini yao na ndio wako wengi, CHADEMA endeleeni kushabikiwa na wenye pesa.
 
mie nimepoteza kadi na uchaguz cwez shiriki

Unatia haibu great thinker mzima hujuhi utaratibu, Haya sikiliza, Nenda kwa MKURUGENZI wa Halmashahuri kwani yeye ndiye mwakilishi wa tume hapoa wilayani kwenu na atakupatia Kitambulisho Kipya. Hata kwa wale walio uza shshada nenda pia kwa mkurugenzi wa Halmashahuri mkachukue kadi mpya.
 
Back
Top Bottom