Hii Ndiyo CHADEMA 1992 - 2013

Filipo Lubua

Filipo Lubua

Verified Member
Joined
Nov 18, 2011
Messages
333
Likes
12
Points
35
Filipo Lubua

Filipo Lubua

Verified Member
Joined Nov 18, 2011
333 12 35
Pamoja na changamoto mbalimbali chaa hiki kilizozipitia, bado kimeendelea kuimarika kila uchao uchwao. Kuna wale wanaobeza kuimarika kwa chama hiki, na kukifananisha na vyama vingine vya CUF na NCCR - Mageuzi, wakidhani kuwa kama ilivyokuwa kwa vyama hivyo, Chadema pia kitaporomoka. Ila watu hawa wanashindwa kuelewa kuwa Chama hiki hakijawahi kupoteza umaarufu wake, na zaidi tu kimekuwa kikiuongeza.

Swala hili linathibitishwa na idadi ya viti vya udiwani na Ubunge ambavyo chama hiki kimekuwa kikivipata katika kila uchaguzi mkuu, tangu 1995. Leo tuangalie tu takwimu fupi za udiwani na ubunge kwa Chama hiki.

[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD="align: center"]Mwaka[/TD]
[TD="align: center"]Madiwani[/TD]
[TD="align: center"]Wabunge[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]42[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]75[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]103[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]467[/TD]
[TD="align: center"]49[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa kuzitazama takwimu hizi rahisi, utajifunza kuwa pamoja na hujuma nyingi, wizi wa kura, na fitina mbalimbali kutoka vyama vingine vya siasa (vikiwemo CCM na CUF), pamoja na serikali kutumia vyombo vya dola kujaribu kukiporomosha, bado Chadema kimekuwa kikiendelea kujinyakulia viti vingi zaidi kila kiingiapo katika uchaguzi mkuuna zaidi sana, ongezeko limekuwa likiongezeka kila uchaguzi. Mfano, mwaka 2000 chadema kiliongeza kiti kimoja tu cha ubunge na mwaka 2005 kiliongeza viti sita vya ubunge na mwaka 2010 kiliongeza viti 38 (ukiongeza na vile vya viti maalum). Kwa mantiki hiyo, chadema kimekuwa kikikubalika zaidi kila miaka isogeapo. Wale wenye ndoto kuwa kitakufa, subirini kama hamtakiona kikiingia ikulu na nyie kubaki mnabung'aabung'aa tu.

Kwa wale mpendao grafu, takwimu hizi zinaweza kuonekana kama ifuatavyo. Chadema songeni mbele, hadi mfanikiwe kulikomboa taifa hili. Matumaini ya Watanzania wengi, hasa nguvu ya taifa (vijana), yako mikononi mwenu. Imarisheni umoja, mshikamano, maelewano na mapambano. Hatimaye mtalifikisha taifa letu pale ambapo CCM wameshindwa kwa zaidi ya miaka 50 sasa (nusu karne).

Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
4,443
Likes
357
Points
180
Age
33
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
4,443 357 180
Punguzeni uchaga chamani
 
mtungutu

mtungutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
296
Likes
0
Points
0
mtungutu

mtungutu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
296 0 0
kweli ccm walie tu kwan kwa takwimu hizi ndoto zao za kwamba kitakufa before 2015 ni kujifariji tu.
 
thkimboka

thkimboka

Member
Joined
May 21, 2013
Messages
17
Likes
0
Points
0
Age
30
thkimboka

thkimboka

Member
Joined May 21, 2013
17 0 0
Mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema na watu wake peeeeeeeeeeeople power 2015 ccm tunawazika rasmi
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,685
Likes
1,299
Points
280
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,685 1,299 280
Utafiti Mzuri! Pamoja na changamoto zote tunazopata, bado kuna tatizo kubwa sana kwa watanzania ni kutokuwa na mwamko wa kupiga kura. Kura ndio maamuzi ya mwisho kama unataka mabadiliko. ACHA kushabikia tu mtaani na mikutanoni, PIGIA KURA CHADEMA!
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,676
Likes
2,792
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,676 2,792 280
Mwamko wataupata tu manake shida hazidanganyi. Maisha yamekuwa magimu na kila mtu yukoalert kuwa tumeingia chakani. Wenyewe tutaenda kupanga mstari kupiga kura. JK kaza bolt hizohadi tunyooke!

Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,499
Likes
234
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,499 234 160
Mwamko wataupata tu manake shida hazidanganyi. Maisha yamekuwa magimu na kila mtu yukoalert kuwa tumeingia chakani. Wenyewe tutaenda kupanga mstari kupiga kura. JK kaza bolt hizohadi tunyooke!
You can't be serious King'asti ... hivi kuna kunyooka zaidi ya hapa tulipofikia!?
 
Last edited by a moderator:
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,553
Likes
2,374
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,553 2,374 280
Kama kuna mtu anataka TZ iendelee kuwa nchi ya laana, basi aendelee kuichagua CCM, kama kuna mtu anataka TZ iwe nchi ya maziwa na asali, chagua CHADEMA!
 
M

mujore

Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
89
Likes
0
Points
0
Age
29
M

mujore

Member
Joined Jan 9, 2013
89 0 0
Mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema na watu wake peeeeeeeeeeeople power 2015 ccm tunawazika rasmi
sema mungu ibariki tanganyika.. wacha kututia tia na sisis kwenye hizo biashara zako...zanzibar tuko kivyetu.....
 
MNAMBOWA

MNAMBOWA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Messages
2,013
Likes
80
Points
145
MNAMBOWA

MNAMBOWA

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2011
2,013 80 145
Msijidanganye cdm hz takwimu mnapaswa kuzitafakari kwa kina kwani ingawa chama kinaungwa mkono na watanzania wengi lkn chama kama chama bd hakija kuwa, nasema hvy kwa nn? Lazima mlinganishe toka mwaka 1992-2013 ki uchumi chama kikowapi kimepiga hatua gani , idadi ya wanachama halali na waaminifu imeongezeka kiasi gani! Uwezo wa kutengeneza fursa za kiuchumi ki chama imefikia wapi? Ofisi za kueleweks kuanzia Taifa mpaka ngazi ya chama zipo?uongozi endelevu kuanzia Taifa mpaka chini upo?. Nasema hvy maana natambuwa kuwa cdm hakijatekeleza hy ambayo ndi yanayoosha kama chama kimekuwa. Kilichopo sasa ni kuwa cdm kina washabiki tuu ambao ni dkk mojo tuu wanaweza kugeuka na kikiacha chama kama kikombe kilichomaliza kunywewa maji yaani tupu. Jiimalisheni ktk hayo vinginevyo ni sawa na kundi kama la waigizaji tuu ktk democrasia na Siasa hapa Tanzania.
 
M

MT KILIMANJARO

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Messages
4,214
Likes
36
Points
145
Age
36
M

MT KILIMANJARO

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2013
4,214 36 145
Msijidanganye cdm hz takwimu mnapaswa kuzitafakari kwa kina kwani ingawa chama kinaungwa mkono na watanzania wengi lkn chama kama chama bd hakija kuwa, nasema hvy kwa nn? Lazima mlinganishe toka mwaka 1992-2013 ki uchumi chama kikowapi kimepiga hatua gani , idadi ya wanachama halali na waaminifu imeongezeka kiasi gani! Uwezo wa kutengeneza fursa za kiuchumi ki chama imefikia wapi? Ofisi za kueleweks kuanzia Taifa mpaka ngazi ya chama zipo?uongozi endelevu kuanzia Taifa mpaka chini upo?. Nasema hvy maana natambuwa kuwa cdm hakijatekeleza hy ambayo ndi yanayoosha kama chama kimekuwa. Kilichopo sasa ni kuwa cdm kina washabiki tuu ambao ni dkk mojo tuu wanaweza kugeuka na kikiacha chama kama kikombe kilichomaliza kunywewa maji yaani tupu. Jiimalisheni ktk hayo vinginevyo ni sawa na kundi kama la waigizaji tuu ktk democrasia na Siasa hapa Tanzania.
Jinga jingine hili lisilo jitambua.
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,676
Likes
2,792
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,676 2,792 280
Bado. Yaani hadi 2015 titaweka akili sawa. Bado tupo wengi ambao hatujawahi kulala na njaa. Huko tuendako yatafika tu. Sasa hivi tunasisitiza uzungu na kugomea extended family, tukilalia chai na mkate na kisha kukosa mkate tutaelewa. Bado baba, tuliza boli. Na unajua dola imeanza kuimarika upyaaa!?
You can't be serious King'asti ... hivi kuna kunyooka zaidi ya hapa tulipofikia!?
 
Last edited by a moderator:
BBJ

BBJ

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Messages
1,183
Likes
10
Points
135
BBJ

BBJ

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2011
1,183 10 135
Utafiti Mzuri! Pamoja na changamoto zote tunazopata, bado kuna tatizo kubwa sana kwa watanzania ni kutokuwa na mwamko wa kupiga kura. Kura ndio maamuzi ya mwisho kama unataka mabadiliko. ACHA kushabikia tu mtaani na mikutanoni, PIGIA KURA CHADEMA!
M4C inaendelea na itaendelea kuwafikia watu mijini na vijijini,elimu ya uraia imewafikia na inaendelea kuwafikia,kufika 2015 watu watakua wameelewa na hatimae SHETANI CCM litang'oka.Viva CDM,VIVA M4C Peopleeeeeees....... Power!!
 
BBJ

BBJ

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Messages
1,183
Likes
10
Points
135
BBJ

BBJ

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2011
1,183 10 135
Msijidanganye cdm hz takwimu mnapaswa kuzitafakari kwa kina kwani ingawa chama kinaungwa mkono na watanzania wengi lkn chama kama chama bd hakija kuwa, nasema hvy kwa nn? Lazima mlinganishe toka mwaka 1992-2013 ki uchumi chama kikowapi kimepiga hatua gani , idadi ya wanachama halali na waaminifu imeongezeka kiasi gani! Uwezo wa kutengeneza fursa za kiuchumi ki chama imefikia wapi? Ofisi za kueleweks kuanzia Taifa mpaka ngazi ya chama zipo?uongozi endelevu kuanzia Taifa mpaka chini upo?. Nasema hvy maana natambuwa kuwa cdm hakijatekeleza hy ambayo ndi yanayoosha kama chama kimekuwa. Kilichopo sasa ni kuwa cdm kina washabiki tuu ambao ni dkk mojo tuu wanaweza kugeuka na kikiacha chama kama kikombe kilichomaliza kunywewa maji yaani tupu. Jiimalisheni ktk hayo vinginevyo ni sawa na kundi kama la waigizaji tuu ktk democrasia na Siasa hapa Tanzania.
Endelea kujidanganya kwa vi takwimu uchwara vilivyokaa ki uharo uharo zaidi.2015 sio mbali mtaisoma number tu.
 
Forum statistics

Threads 1,273,308
Members 490,351
Posts 30,477,653