MURJI HURU KWA DHAMANA: Mbunge wa Mtwara aliyeshtakiwa kwa uchochezi, Hasnain Murji (CCM), ameachiwa kwa dhamana leo mchana. Kesi yake itasomwa tena Julai 4.
Hapo ni vunga tu ya maccm ili ionekane kwa wananchi kuwa mmbunge wao anawatetea ili ccm isikataliwe moja kwa moja na wananchi.
Uko sawa GT hili watu wengi hawajalijua,alafu nashangaa hii kuwa breaking news
Hii ni baada ya Katibu wake kulalamika? Nimesoma kwenye magazeti leo.MURJI HURU KWA DHAMANA: Mbunge wa Mtwara aliyeshtakiwa kwa uchochezi, Hasnain Murji (CCM), ameachiwa kwa dhamana leo mchana. Kesi yake itasomwa tena Julai 4.
Hawajatimiza masharti ya dhamana.Hivi wale wa CUF walishapata Dhamana ?