Mgombea wa TLP kata ya Elerai ahamia CHADEMA

Mgombea wa TLP kata ya Elerai ahamia CHADEMA

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Amehamia pamoja na wanachama wa chama cha TLP na wanaccm 23 hii leo na ikumbukwe mkutano wa juzi uliofanyika uwanja wa shuma mabalozi 5 wa nyumba kumi kumi na tawimoja kuhamwa na wote kuhamia chadema..
.. DSC05462.JPG
DSC05464.JPG
DSC05478.JPG
Mgombea wa udiwani kata ya Elerai kupitia TLP na baadhi ya watu wengine walio rudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CHADEMA hii leo....
 
Asante Crashwise kwa habari yako njema.Mungu ni mwema.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu habari njema hizi ila nawasihi mlinde sana kura,mandevu bado yupo Rchuga?
 
Peoplesssssssssssssssssssssssssss! Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!

Hii ni historia na pigo kwa vyama vingine hasa CCM. Wajue CDM haipo midomoni mwa watu tu bali hata mioni.

Hongera sana kwa makamanda wa A-Town. Kazi mnayofanya nikubwa sana.
 
Siasa bana, watu wanacheza na upepo tu, unakovumia ndio huko huko wanaenda nao.
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa CCM na mkewe CUF hapa mkoani Arusha.
Savimbi(Mwigulu) na wale mataahira wake wamechoka mbaya.

Chezea CHADEMA wewe!!!
 
Nape alikua na mkutano apa mitaa ya nane nane kata ya themi baada ya kukosa watu kakimbia
 
Jamani anaeshangilia mwisho ndio huwa anashangilia vizuri, tusubiri hadi j'2.
 
Nimeipenda hiyo,jambazi mwigulu Nchemba umeipata hiyooooo! CCM oyeeeeee,mtasema oyeeee huku mnaisha hii ni kansa inawamaliza.CHADEMA ni taasisi ilyokamilika Peopleeeeeeeess!! Aluta continua Mpaka wazimie kwa pressure hawa magamba.
 
Kweli Lema ni hatari kwa utawala wa magamba.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom