RAISI WANGU MHESHIMIWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE
Raisi wangu naomba nikupe pole kwa majukumu ya kila siku ya kitaifa, naona misukosuko mingi inajitokeza Tanzania mfano Mtwara Mungu azidi...
Habari za kuachiwa kwa dhamana Mkurungenzi wa ulinzi na usalama wa Chadema na Mwenyekiti wa chama hicho mkoani Kagera Bw, W. M. Rwakatare maarufu hapa Bukoba kama "Egaju" zimeilipua Bukoba kwa...
Utafiti uliofanywa na mwana JF Ulukolokwitanga baada ya kutembelea wilaya tatu ambazo kuna uchaguzi mdogo wa udiwani kuziba nafasi ya madiwani waliofariki siku za nyuma unaonesha kuwa licha ya...
Chadema ilivyowazima magamba na wake zao CUF, mkutano huu mabalozi watano na watu zaidi ya 20 walirudisha kadi za magamba...
Baadhi ya mabalozi wakirudisha kadi za magamba na kuchukua za...
Habari wana-JF?
Mhe Chenge ambae ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya bajeti na mbunge wa bariadi magharibi (CCM) amesema serikali imeelemewa na mzigo wa madeni na faida ya madeni hayo...
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilosa ndg Nassoro Dulele, jana jioni alilazimika kuwatumia Polisi wa Kilosa kumbambikia kesi ya kufanya fujo katika mkutano wao wa kampeni kijana Daudi Japhani katika...
Unajua siku zote ukitaka kujua umepiga hatua kiasi gani kwenda mbele unatakiwa usikie maoni ya Mgeni anayekuja kukutembelea (usisikilize wenyeji wenzako wataishia kukupa Ugonjwa wa Moyo na kujiona...
Source BBC Kwa mujibu wa taarifa ya habari bwana Nape Nnauye kasema atatoa tamko la chama juu ya rasimu ya katiba kwani wao kama chama tawala na wana wabunge wengi na wanauwezo wa kukaa kama...
BOnyeza AUDIO | DW.DE Kamati ya Maridhiano Zanzibar yashtushwa na Dk. SheinHali visiwani Zanzibar inaonekana si shwari kwenye serikali yenye muundo wa umoja wa kitaifa, baada ya Rais Ali Mohamed...
Lissu akiwa anatoa mchango wake kwenye muswada ulioletwa na serikali, amezimiwa kipaza sauti baada ya kukaidi maelekezo ya spika ya kuacha kukitaja chama cha Mapinduzi katika mchango wake...
nianze na huyu mbunge wa Babati mjini hajawahi sisikika wala kuonekana bungeni kwa muda mrefu sana.
jimboni kwake pia mpaka wamemsahau na wanajuta kumpa nafasi ya uwakilishi.
watu wanadhulumiwa...
Chanzo cha habari hii ni kutoka katika gazeti la Habari leo
(http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/12645-makamu-wa-rais-atikisa-muungano)
Makamu wa Rais wa Zanzibar bw Seif...
Kwanin wameamua kuja na pendekezo la serikali tatu ilihal wananch hawakuambiwa kama muundo utakuwa hv? wanataka waendelee kuandika rasimu na katiba ya Tanganyika na zanzibar! Serikali tatu ni...
Mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnein Murji ametiwa mbaroni na Jeshi La Polisi kwa tuhuma za uchochezi na kuhusika katika vurugu zilizotokea hivi karibuni katika viunga vya mji wa Mtwara.
Habari za...
Dodoma. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni mwa wiki...
Kwanza nadeclare interest me ni CHADEMA.
Huyu mkuu huwa hachangii chochote akiwa bungeni, labda ishu ihusu bongo fleva au Ruge.
Ameshindwa hata na Maji marefu ambaye huuliza maswali ya nyongeza...
Monday, June 10, 2013 Mkutano wa CUF Matemwe
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini...
Leo hii mbunge wa Kenya ambaye amechaguliwa kipindi ambacho hata akizidi miezi 4,tayari anataka kuongezwa mshahara kwa kisingizio cha kufanya kazi sana.
Kenya ni nchi maskini na hao wabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.