Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bwana Wilfred Lwakatare (51) kwa sasa ni kama tunu kwa CHADEMA, kwani amejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya chama hicho kutokana na tuhuma nzito zilizo mkabili za kujihusisha na ugaidi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Utangulizi tumo katika kipindi cha kupitia rasimu ya katiba ya muungano. ni bahati mbaya kuona katiba ya muungano inatangulia ile ya tanganyika au tanzania bara! hali hii itasababisha katiba ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jina Tanganyika limepotea. Inapotokea Tanganyika kutajwa ndani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar basi hutajwa Tanzania Bara. Je Tanzania bara ndio nchi gani? Natamani kuanzia sasa Tanganyika...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeipata sasa hivi hii wadau, naomba tuijadili... Na Daniel Mbega, Iringa WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamisi Sued Kagasheki, amepuliza kipenga. Kilichobaki sasa ni kwa wachezaji...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Green guard maarufu Arusha kata ya Themi bwana Antony 'Kichwa kubwa' ametangaza hadharani kuwa amepewa 'ACID' na mgombea wa CCM kata ya Themi Mr. Victor Mkolwe kwa ajili ya kuwamwagia wale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rasimu ya Katiba
0 Reactions
1 Replies
2K Views
IMAMU wa msikiti wa Maziwa Ngo'mbe Kisiwani Pemba, Omar Hussen Said (42) amepigwa na kujeruhiwa jicho baada ya kutokea vurugu ndani ya msikiti wakati wa ibada ya Ijumaa Juni 7 mwaka, imefahamika...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Alichokisema Rais Jakaya Kikwete kwenye mkutano wa kutafuta amani nchini DRC hakina ubaya wowote. Pengine kwa kuanza nielezee kwa ufupi alichosema Rais Kikwete ambacho kimesababisha Wanyarwanda...
12 Reactions
62 Replies
6K Views
Wakati wa Mwalimu hakukuwa na shaka kwamba Nyerere alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa wadau wenye dhamana na wananchi kwa ujumla kwenye masuala ya maamuzi ya msingi kwa taifa. Mifano mizuri ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama rasimu ilivyopendekeza kutakuwa na wagombea binafsi kwa nafasi zote, swali: nini kitanyika endapo watajitokeza wagombea 70 kwa nafasi ya urais na 70 kwa ubunge? je wataruhusiwa wote...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Unaieleza vipi, na unatetea vipi, kontena lenye meno ya ndovu, wanakwambia kwamba origin yake ni bandari ya Dar es Salaam? Pale bandarini, kuna vyombo mbalimbali --kuna polisi, kuna customs TRA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu naomba serikali 3 zitakazoundwa ile ya Tanganyika, Zanzibar na ile ya shirikisho ziwe na mamlaka na mgawanyo wa wizara na kitaasisi kama ifuatavyo: - Serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, Hebu tazameni siasa za maji taka za Mwigulu na magamba wenzake katika moja ya kampeni za udiwani Arusha: MWIGURU AKILI KUHUSIKA NA MKANDA WA LWAKATALE; ATUMIA SIASA ZA MAJITAKA...
1 Reactions
69 Replies
10K Views
Wapendwa kwanza mimi ni new member hapa so naomba mnikaribishe. Jaman mimi hli swala la serikali tatu mimi naona bdo complicated xana! Cjui kama litawezekana! Hebu 2ache ushabk, let us thnk it...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mihimili mitatu ya dola inaingiliana katika rasimu ya katiba mpya.mfano Rais kuondolewa uwezo wa kufanya uteuzi wa watu anaoona wanafaa na badala yake yeye kupokea mapendekezo ni kumnyang'anya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimepitia Rasimu nzima, sijaona popote ambapo swala la Afya limetajwa. Access to quality health services is fundamental right. Mbona halijitokezi kwenye rasimu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemfikisha Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillip Mulugo, mbele ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za...
2 Reactions
90 Replies
8K Views
Hivi karibuni tumesikia taarifa kutoka kwa mzee wa anga, bwana Mbowe, akiisifia rasimu ya katiba kuwa 'ipo poa' kwani imebeba mapendekezo mengi ya CHADEMA kama lile la serikali tatu. Kauli hiyo...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ni takriban miaka miwili sasa tangia Kumwagiwa Tindikali kijana Musa wakati wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga mwaka 2011. Tangia kutokea kwa tukio hilo la kusikitisha,Naibu katibu mkuu CCM na...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Katika kipindi cha dakika 45 jana cha ITV Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba amewaomba wananchi hasa katika mabaraza ya katiba watoe maoni mapya ya kuboresha kile kilichopo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom