Waungwana ni juzi tuu tumesikia,tumeona kuwa serikali ya Uingereza ikiwalipa fidia wapiganaji wa maumau wa Kenya, Nauliza Je Zanzibar (kama wanavyodai wenyewe ni koloni la Tanganyika) wakipata...
Jiji la Arusha linatarajiwa kuzizima siku ya Jumamosi wakati Mkiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe na Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Wilfred Lwakatare watakapohutubia wakazi wa jiji hilo...
Bado sipati picha kwa nini wana CCM walazimisha wa z'bar muungano kwa nguvu,hoja ya kusema serikali tatu itavunja muungano ni ni hofu na mashaka ya CCM, ndio maana mafisadi wa ccm juzi...
Toka Rasimu ya katiba itolewe kuna swali nimekuwa najiuliza sana.....''' Je ni kwa kiasi gani watanzania wamekuwa wakihamasihwa kuisoma ili waweze kuchangia vizuri matahalani kuikosoa au kushauri...
Habari wana-JF?
Leo majira saa 4 asubuhi bwana Lwakatare ambae ni mkurugenzi wa ulinzi na usalama CHADEMA atakuwa na mazungumzo na waandishi wa habari, ajenda ikiwa kuhusiana na sakata zima la...
Tangu jana hapa Ofisi Ndogo za CCM,Lumumba kuna furaha. Furaha ya kichama inahusu sarakasi zilizoanzishwa nasi juu ya Rasimu ya Katiba na wengine kuziiga. Makada waandamizi wa chama hapa Lumumba...
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare amesema atatoa ya moyoni siku ya Alhamisi.
Akizungumza na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi mara baada ya kupata dhamana...
Ni wazi wazanzibar hawakubali serikal 3, wanataka muungano wa mkataba. Warioba kila cku anasisitiza serikal tatu hata kabla ya mchakato wa katiba mpya akipewa support na sengondo mvungi. Jaman...
Mojawapo ya mambo yanalalamikiwa kwenye katiba ya sasa na sheria zake ni pamoja na swala la umiliki wa ardhi;
1. Swala la Raisi kuwa na mamlaka na ardhi yote
2. Swala la wageni kumiliki ardhi
3...
Delegates from plo have arrived in dsm and wellcomed by tanzanian official and seek the government to continue support for liberation of palestinian state from state of zionist who looklike hitler...
Kumekuwa na hoja kuwa uwepo wa serikali tatu katika rasimu ya katiba kuwa itasababisha gharama kubwa za matumizi kwa serikali hizo.
Kwa maoni yangu hoja hii naona si kweli kwa sababu, rasimu...
Green guard maarufu Arusha kata ya Themi bwana Antony 'Kichwa kubwa' ametangaza hadharani kuwa amepewa 'ACID' na mgombea wa CCM kata ya Themi Mr. Victor Mkolwe kwa ajili ya kuwamwagia wale...
Wamasai wa makuyuni wanakwenda kuhushangaza ulimwengu jpili kwenye kura jinsi chadema inakwenda kushinda kwa kishondo kata ya makuyuni na kata nne za arusha mjini.aluta continua
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo tena bila kupepesa macho na kurudia mara tatu juu ya tamko ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Bwana Nape Nnauye. Nimegundua kitu kimoja, miaka ya nyuma CCM...
Habari za jioni wana JF!
Akimnadi mgombea wa udiwani kata ya Nyampulunkano Bw.Emmanuel Mwaninis anawaambia kuwa Ngereja amesema kuwa lazima atashinda kwa namna yoyote ile,amesema Ngereka hana...
Awali ya yote natanguliza MAPENZI yangu kwa CCM. Nimesikitishwa na mwenendo wa kampeni zinazoendelea katika kata ya Mianzini, Mbagala kutakofanyika uchaguzi wa diwani Juni 16, 2013. Jana ilikuwa...
Mimi ni naibu meneja kampeni kata ya Kimandolu, leo tunafanya mikutano miwili kwenye kata ya Kimandolu saa 6 mpaka saa 8 mchana tutakuwa Bondeni bar, saa 9 mchana mpaka 12 jioni tuko Kijenge Chini...
Kuna habari zimesambazwa kwenye fb zinasema mgombea wa CHADEMA kata Themi Arusha amejitoa napenda kusema ni uwongo mtupu mgombea hajajitoa nipo naye tangu asubuhi. Peoples power.
Nape anazomewa muda huu kimandolu,hakika Arusha ni ukanda huru
Baada ya makamanda wa CHADEMA kuikaba vilivyo ccm Arusha,ccm imelazimika kutuma wabunge wote wa mkoa wa...
Ndugu zanguni,
Nimekaa chini nimejiuliza nimekosa jibu
Kwa nini kila kukicha huu muungano hauishi manung'uniko?
Walianza wa zanzibari na sasa wabara wanataka muungano uvunjike ni kwa nini hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.