Takribani wiki mbili sasa, tangu tume ya katiba, chini ya uenyekiti wa jaji mstaafu WARIOBA, watangaze rasimu ya kwanza ya katiba mpya.
Tume hii imekuja na mapendekezo kadhaa ambayo yanahitaji...
Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara,Mh.Mwigulu Nchemba akiwasili kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Makuyuni wilayani Monduli hii leo...
Katika maana kueleza maana ya upinzani lazima niweke tofauti iliyopo kati ya uadui na upinzani
Upinzani ni kuwa na kundi la watu/taasisi fulani iliyoundwa na watu wenye kusudi...
Mengi sana yameongelewa humu jukwaani juu ya nani ataibuka kidedea kati ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi huo, mimi nimebahatika kupita maeneo kama 4 hivi, ambayo ni Kata ya Iyela-Mbeya(CHADEMA IPO...
Huu ni mfano wa taarifa zisizoeleweka katika website ya Bunge ambapo mbunge huyu (Mheshimiwa) anaonyesha alijiunga na masomo ya shahada ya uzamili MBA mwaka 1988 mara tu alipomaliza High School...
MH.Lema ameweza kulitoa baraza la mawaziri na wabunge wote wa ccm wanao jiona ni machachari wa ccm mafichoni na kuja arusha kushindana nae lakini hawajafanikiwa.
Kila anaekuja kwa mbwembwe...
Habari wana jamvi leo napenda tushikiane kujiuliza
Nini kilicho jificha ndani ya sisa za Arusha?ukiangalia jinsi vyama vyote katika chaguzi hizi ndogo utakubaliana na mimi kuwa Arusha ndo imepewa...
Katika Kampeni za uchaguzi wa Diwani Kata ya Kimandolu hapa Arusha NapeMnauye amesema hakuna "HAKUNA JINSI NI LAZIMA MGOMBEA WA CCM ATANGAZWE MSHINDI'.
Hii ni katika hotuba aliyomaliza dakika 10...
Miaka iliyopiata kumekuwa na ongezeko la kodi kwenye bidhaa kama, sigara, bia, uingizaji wa magari, soda, adhabu za barabarani nk. Hakuna creativity kwenye kuongeza vyanzo vingine vya mapato. Leo...
I am your less conspicous brother
they send me to eat
in kitchen(fools as if they knew not my illustrious history)
when company comes
to Arusha
But i laugh
And eat well
And grow strong...
Kwanza kabisa napenda kumpa pole ndugu Lwakatare kwa yote yaliyomkuta na mwenyezi Mungu amuongoze na pia ampe nguvu na ujasiri ili aweze kukabiliana na kesi inayomkabili.
Kufuatia taarifa kuwa...
wadau wa JF, naomba kuuliza Chadema na CCM kila kimoja kina idadi ya madiwani wangapi ktk halmashauri ya jiji la Arusha? nauliza hivi pia kwasababu inasemekana CCM inahofu Chadema ikishinda viti...
Ni dhahiri kuwa CCM imeparaganyika kutokana na rasimu ya katiba iliyotolewa na Warioba! CCM sasa wameadhimia kutumia mabaraza ya wilaya ambayo wana wajumbe wengi na mabaraza ya kitaasisi...
Inasikitisha kuona tunaendelea kulalamika kuhusiana kuanguka kwa majengo mbalilmbali jijini, sababu zinajulikana na inasikitisha zaidi pale ambapo tumekuwa tukitafuta mchawi kumbe vitu vipo wazi...
Kujaza makada mashuhuri na waandamizi wa CCM jijini Arusha ni mbinu za kisiasa. Hii itazifanya sehemu nyinginezo ambazo nazo zitafanya uchaguzi Jumapili ya tarehe 16/6/2013 kutokufatiliwa na hivyo...
Maoni tu, tuacheni politics we need Rwanda kiuchumi... Huuu mtaifa wetu jamani hatujajifunza na siasa zetu za ukombozi wa kusini mwa Afrika ambao haukuwa na tija na wananchi wa kawaida. Rwanda...
Leo nchi za Afrika mashariki zinasoma bajeti zao ijapokuwa Zanzibar wameshasoma ya kwao jana.
Ijapokuwa waziri wa fedha wa Tanzania kasema bajeti ya sasa imewekwwa vipaumbele vinne ikiwemo, maji...
Hotuba ya mwl.Nyerere march 13,1995:
Zamani tulikuwa na kitu kinaitwa miiko ya uongozi wakati wa TANU, zilikuwa zinaitwa Kanuni za TANU. Na kanuni moja ya TANU, ambayo baadaye tukarithi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.