CCM yachekelea


VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,988
Likes
7,898
Points
280
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,988 7,898 280

Tangu jana hapa Ofisi Ndogo za CCM,Lumumba kuna furaha. Furaha ya kichama inahusu sarakasi zilizoanzishwa nasi juu ya Rasimu ya Katiba na wengine kuziiga. Makada waandamizi wa chama hapa Lumumba wanaziona sarakasi hizo kama zenye uwezo wa kuchelewesha uandikwaji wa Katiba mpya na hivyo kuifanya iliyopo kuendelea kufanya kazi.Wanatamani mabishano yapambe moto na kuendelea na chama chetu kizidi kushika hatamu.'Rasimu ya Muungano tu hivi,je ikianza ya Tanganyika?' aliuliza Afisa mmoja wa Idara ya Uenezi.‘Mwaka 2015 uchaguzi utafanyika kwa Katiba ya sasa. Mambo yatakuwa vilevile kama zamani.Cha kufanya ni kuendelea kupinga sehemu kubwa ya Rasimu hii.' aliongeza Afisa huyo anayejiita 'Tsunami'. Je,wanaamini katika kweli?Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,498
Likes
2,646
Points
280
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,498 2,646 280
CCM wanaanza kukimbia Jeneza lao lakini lazima waingie kwa nguvu hata wafanyeje
 
J

jnuswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
1,270
Likes
6
Points
135
J

jnuswe

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
1,270 6 135
kumbe mnajua kwa katiba yenye kujali misingi ya haki na sheria hamna ubavu wa kushinda? hata hivyo Warioba amesema ya tanganyika itakuwa faster kuliko mnavyofikiri kwa sababu maoni yote walisha kusanya wakati wa mchakato wa katiba ya mungano
 
Lekakui

Lekakui

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,448
Likes
54
Points
145
Lekakui

Lekakui

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,448 54 145
I don't believe this sentiments,
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,965
Likes
9,964
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,965 9,964 280
unahali mbaya mkuu, naona umekosa thread sikuhizi, uwe hata unatupa dondoo za mashindano ya langalanga
 
Tony Gwanco

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Messages
5,919
Likes
46
Points
0
Tony Gwanco

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2013
5,919 46 0
kumbe kikao cha dharula cha cdm hakijaisha tu,
 
Lu-ma-ga

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
3,270
Likes
800
Points
280
Lu-ma-ga

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
3,270 800 280
Tume ya warioba imetuhakikishia kuwa 2015 tunatumia sahani mpya kwa mpunga mpya.Lazima ccm tuwanyonye macho na tongotongo zenu hatutajali
 

Forum statistics

Threads 1,273,853
Members 490,528
Posts 30,493,527