Mimi ni naibu meneja kampeni kata ya Kimandolu, leo tunafanya mikutano miwili kwenye kata ya Kimandolu saa 6 mpaka saa 8 mchana tutakuwa Bondeni bar, saa 9 mchana mpaka 12 jioni tuko Kijenge Chini tunawapiga CCM kwa dozi inaitwa 4.4.2 hatulali mpaka walale wao.
Ua kabisa magamba hao. ila naomba muwe makini sana, nimesikia MAGAMBA wana roho 7.
nakupa Like!Andaeni Mikakati ya Kuhakikisha Lwakatare anahutubia kabla ya Kufungwa kwa kampeni tareha 15.06.2013.Ni Kete Muhimu sana ya kuwakumbusha Watanzania Madhila wanayotendewa na Serikali ya CCM.