Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea udiwani kwa tiketi ya Tlp kata ya elerai ajitoa kwenye kinyang'anyiro na kujiunga na chadema
1 Reactions
19 Replies
2K Views
JAJI BOMANI AUNGANA NA WARIOBA KUTAKA SERIKALI TATU Na Chalila Kibuda SIKU moja baada ya Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa kutoa msimamo juu ya mapendekezo ya rasimu ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimepokea kwa furaha sana taarifa za mkutano mkuu wa chama tawala (CHADEMA) na kwamba wataijadili rasimu ya katiba "neno kwa neno". Sote tunajua mustakabali wa Tanganyika na tanzania kwa ujumla...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Huku kampeni za uchaguzi zikikaribia kumalizika, na uchaguzi kufanyika jumapili tarehe 16 , CCM baba lao, chama la kudumu, kama kawaida yake, itashinda chaguzi hizi za udiwani na kuudhihirishia...
1 Reactions
69 Replies
5K Views
Baada ya Tanzania kupeleka majeshi yake huko DRC yenye mamlaka ya kushambulia pia kuwanyanganya waasi siraha ikiwamo kundi la waasi la M23 wananchi wengi tulipinga hatua hiyo, Mara baada ya...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hakika Nape anawamaliza magwanda Arusha.... Chuki anayoipanda dhidi ya CDM na watu wake ni kubwa sana. Nape kaeleza jinsi Chadema na viongozi wao walivyoleta laana Arusha. "Takwimu zinaonyesha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
wanajf, Naomba tafadhari leo ni mjulisheni mh. Filikunjombe dhambi yake huko jimboni kwake kama atakuwa amesahau basi namwomba aje na majibu haya kwa wananchi wa tarafa ya mwambao wa ziwa Nyasa...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Saa 1:05 pm viongozi na makada wa ccm (w) nachingwea wakiwa na gari la ccm wamempiga na kumuumiza vibaya katibu wa cdm
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi sasa Mwenyekiti wa Chadema mkoa anasema Madiwani wa ccm wameridhia kupandisha kodi hata kama uko car wash ulipe packing fee
1 Reactions
16 Replies
2K Views
WEDNESDAY, JUNE 12, 2013 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wake wa Marais wa Afrika wakati wa hafla ya ukaribisho iliyofanyika katika ukumbi wa UN...
2 Reactions
63 Replies
13K Views
Baada ya kusoma kipade hiki katika gazeti la Mwananchi Hata hivyo, mwenzake Joseph Ludovick ambaye wanashtakiwa pamoja, alikwama kupata dhamana baada ya wadhamini wake kushindwa kuwa na...
2 Reactions
161 Replies
12K Views
Salaam, Napenda kwa dhati kabisa ya moyo wangu kukupongeza Mheshimiwa Spika Anne Makinda kwa hili moja!!. Uamuzi wako pamoja na wataalamu wako wa kuamua kuwa na Tume ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Makamanda wa Chadema wakifuatilia mkutano wa Diwani mteule kata ya Elerai
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa ufupi Tukio hilo limetokea baada ya Lowassa kuibua staili mpya ya kampeni ya chama chake, ambapo badala ya kuhutubia amekuwa akiwapa nafasi wananchi kupanda jukwaani na kuzungumza...
3 Reactions
78 Replies
6K Views
Vijana wengi wapenda mabadiliko warejea tena kwenye zama za kutazama filamu za kichina na Muziki wa Kikongo Tunaanda mbumbumbu wengine wa current affais zaidi ya Janga la kufeli kidato cha Nne...
6 Reactions
75 Replies
10K Views
Heshima kwenu wale wote mnaotumia muda wenu na akili zenu kuwajuza wananchi. Ningependa kidogo muelewe na ntaweka baadhi ya vithibitisho kutoka vyanzoa mbalimbali nini hasa ni sababu ya safari...
13 Reactions
89 Replies
11K Views
Naomba niwataadhalishe e sana akina nape na mwigulu nchemba juu ya kutumia huyo mlemavu katika kampeini za udiwani kwamba alipata madhira hiyo kutoka kwa CHADEMA. Kisiasa ni sawa,lakini ukitazama...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Chama tawala nchini Tanzania, CCM bado kinaonekana kuendeleleza sera yake ya kupinga muundo wa serikali tatu ambao hivi sasa unapendekezwa pia katika rasimu ya Katiba Mpya iliyowasilishwa mwanzoni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, Kila kunapokucha kasi ya chadema inazidi kuungwa mkono kwa kadi ya ajabu. Nipo hapa Kimandolu kijenge ya juu, hakuna watu maarufu wanaopiga swaga jukwaani zaidi ya diwani na viongozi...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndugu zangu makamanda mimi ni naibu meneja kampeni kata yakimandolu chadema tunashinda kwa asilimia 85 ccm wameleta mawaziri w medeye w mwandi kina nchemba nawengine wengi niko nakamanda magoma...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom