Palestinian liberation organisation watua Dar

A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
Delegates from plo have arrived in dsm and wellcomed by tanzanian official and seek the government to continue support for liberation of palestinian state from state of zionist who looklike hitler in modern era. Viva palestian alutta continua
 
M

Mzee wa fund

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
518
Likes
1
Points
0
M

Mzee wa fund

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
518 1 0
They are coming for what other reasons.
 
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
6,737
Likes
2,350
Points
280
Age
38
A

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
6,737 2,350 280
I like che gwevara ideas let people b free coz were not born as slave but free
 
scramble

scramble

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
1,593
Likes
0
Points
0
scramble

scramble

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
1,593 0 0
Delegates from plo have arrived in dsm and wellcomed by tanzanian official and seek the government to continue support for liberation of palestinian state from state of zionist who looklike hitler in modern era. Viva palestian alutta continua
katibu wa ccm mambo ya nje Asha-Rose migiro akimpokea kiongozi mwandamizi wa chama cha fatah cha palestina. msimamo wa Tanzania toka mwalimu nyerere, unaamini katika Israel na palestina kugawana ardhi ili amani irejee. waisarael wamekalia eneo kubwa la ardhi ya palestina na walowezi wanaendelea na ujenzi katika maeneo mapya kwa mabavu.
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
90
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 90 145
Delegates from plo have arrived in dsm and wellcomed by tanzanian official and seek the government to continue support for liberation of palestinian state from state of zionist who looklike hitler in modern era. Viva palestian alutta continua

Only NYERERE alikuwa PRO FREEDOM Rights... Uongozi wa Sasa wa Serikali Tawala Moved to the CENTRAL so have nothing to do with FREEDOM RIGHTS... and they don't see ISRAEL as a ZIONIST STATE or whatever you call them...

Angalia PICHA CHINI --- Makamu wa Rais wa Zanzibar yuko huko ISRAEL akiangalia Utaalamu wa kupelekwa Zanzibar

Zanzibar probably has the highest number of children with heart complications, health expert in Israel has said. Dr Alia Kapusta of the Edith Wolfson hospital in Israel said at a meeting with the visiting Zanzibar Second Vice president (2VP) Ambassador Seif Ali Iddi in Tel-Aviv that health experts from the country would travel to Zanzibar to help children with heart problems.

Zanzibar Second Vice-President, Ambassador Seif Ali Idd inspects some of the farming projects in Jerusalem over the weekend. Israel has agreed to help Zanzibar improve farming methods.

K

Kidzude

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Messages
4,401
Likes
1,063
Points
280
K

Kidzude

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2011
4,401 1,063 280
Delegates from plo have arrived in dsm and wellcomed by tanzanian official and seek the government to continue support for liberation of palestinian state from state of zionist who looklike hitler in modern era. Viva palestian alutta continua
Wawe wakweli tu na waseme hivi ..// .. NYIE WADANGANYIKA SISI TULIKODISHA JANGWA KWA MAYAHUDI KAMA NYINYI MNAVYKODISHA NGORONGORO LEO, WAKABADILI JANGWA KUWA MASHAMBA WAKAPANDISHA BENDERA JANGWANI LEO WAMESEMA NI NCHI, JIHADHARINI NA KUUZA NCHI YENU YATAwaTOKEA KAMA YETU.... MWISHO WASEME israel is the Great Nation , kupingana na Israel ni Curse. Ujinga ujinga ndio tuliwao bado sisi after 100 yrs wanetu watacheza juu ya makaburi yetu.
 
B

blueprint.

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Messages
218
Likes
14
Points
35
B

blueprint.

JF-Expert Member
Joined May 26, 2013
218 14 35
wanamtegea OBAMA tanzania? ama kweli wameona huko white house hawampati sasa atakutana nao magogoni hawa jamaa smart sana.
 
mafinyofinyo

mafinyofinyo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
4,391
Likes
2,838
Points
280
mafinyofinyo

mafinyofinyo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
4,391 2,838 280
Wametuletea laana tu hao wafilisti..
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,536
Likes
10,548
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,536 10,548 280
Yaonekana unaongea kishabiiiiiki, hao wenzako wamekuja tu kutembea. Tanzania ina msaada gani wa kulisaidia hilo kundi la Wafilisti? Wakija Wayahudi niambie nikawaone, mara ya mwisho nimeona Myahudi ni wakati uleee wanafunga mtambo wa TvT (TBC) pale Kijitonyama
 
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Messages
3,321
Likes
708
Points
280
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2007
3,321 708 280
Baniani haramu lakini kiatu chake DAWA,kama viongozi wa serikali wanafunga safari ya kwenda kuomba Msaada Israel huku nyuma ya pazia wanawasema vibaya hii ni hatari sana utafikiri wabunge wa CCM wanaikosoa serikali yao mwisho anasema NAUNGA MKONO HOJA ajabu kweli!!!!!
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Delegates from plo have arrived in dsm and wellcomed by tanzanian official and seek the government to continue support for liberation of palestinian state from state of zionist who looklike hitler in modern era. Viva palestian alutta continua
Hiyo ndio kazi UDSM ni mouthpiece ya kila nchi yenye matatizo y akiuongozi na tabia...chuo chenye kitengo cha hovyo kabisa cha "...political science...". Wapiga tarumbeta....."For Hire"
 
D

Dangote

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Messages
204
Likes
3
Points
0
D

Dangote

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2012
204 3 0
Iam pro palestine wayahudi wawape ardhi yao wanayostahili na wao wabaki na kwao!
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,979
Likes
9,988
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,979 9,988 280
katibu wa ccm mambo ya nje Asha-Rose migiro akimpokea kiongozi mwandamizi wa chama cha fatah cha palestina. msimamo wa Tanzania toka mwalimu nyerere, unaamini katika Israel na palestina kugawana ardhi ili amani irejee. waisarael wamekalia eneo kubwa la ardhi ya palestina na walowezi wanaendelea na ujenzi katika maeneo mapya kwa mabavu.
Duh, unless huyo mama wa kipalestina hajui kingerez amaana huo ujumbe kwenye blouse yake ni hatari sana " kiss me stupid" hataree
 
Forum statistics

Threads 1,275,109
Members 490,908
Posts 30,532,856