Muungano wa Tanzania ni kama koti ukitubana tulivue alisema karume

K

kibaya-kenya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
649
Likes
7
Points
35
K

kibaya-kenya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
649 7 35
Bado sipati picha kwa nini wana CCM walazimisha wa z'bar muungano kwa nguvu,hoja ya kusema serikali tatu itavunja muungano ni ni hofu na mashaka ya CCM, ndio maana mafisadi wa ccm juzi walikimbilia kupiga rasmli usiku ili wakatae,ukweli ni kwamba Z'abr ni nchi kamili hatuwezi kutumia mgongo wa muungano kwa nyima wenzetu haki zao ili hali Dunia nzima inajua kwamba muungano lazima uridhiwe na pande mbili wala si kutumia ubabe kama wanavyo fanya ccm, ccm hawa taki serikali 3 kwa sababu ya kisiasa tu,yaani watapoteza madaraka ya kisasa 7babu ya kusema ni gharama na nchi ni maskini ni ya kipuuzi na pia wanaogopa kuimarika kwa CHADEMA HUKU TANGANYIKA AMBAO WAO CDM wana unga mkono serikali 3.Sasa watz mjue 7babu ya ccm kuchakachua yale mabaraza ya katiba ili mambumbu wapitishwe ndio hii ya luona madai ya serikali 3, hata jana mlisikia Vuvusela Nape wa bure akisema chama imeagiza wanachama wake kupitia hiyo rasmi kutoka kwenye ngazi ya wilaya hapa alilenga haya mabaraza ya ccm.

Hoja ya msingi ni ccm kuendeleza uongozi wa kiimla ambao watakuwa waki2mia Z'bar kama kura ya turufu ya kumaliza nguvu ya CDM na vyama vingine vya upinzani, HAPA NAOMBA WATZ TUSIKUBALI RASMU YA CCM, WARIOBA AMETUONYESHA NJIA NI LAZIMA TUKOMAE WOTE, CCM WANATAKA KUANZISHA UTAWALA WA KIFALME KWA KUTUMIA HUU MUUNGANO FEKI WA SIASA ZA FITINA,UWIZI NA UAJI.

PIA WAZ'BAR DAINI HAKI ZENU KUMBUKENI CCM ILIVYO WASALITI MWAKA 1983 KWA KUMVUA JUMBE MADARAKA YA URAIS KISA KUHOJI UHALALI WA MUUNGANO,

VIJANA WA TZ TUWACHENI USHABIKI KWA HILI TUIAMBIE HILI GENGE LA MAJAMBAZI WA CCM KWAMBA YATOSHA.
TUBEBURUZWA VYAKUTOSHA,TUMEPUUZWA VYA KUTOSHA NA MMETUPOTOSHA VYA KUTOSHA WAACHENI WTANGANYIKA NA WA ZANZABARI WAMUE WENYEWE SIO MATAHIRA WA CCM WAMUE MUSTAKABALI WETU.
KUENDELEA KUWA NA CCM NI LAANA KWA VIZAZI VIJAVYO NA VYA SASA.
 
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
1,241
Likes
10
Points
0
Age
39
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
1,241 10 0
Naunga mkono hoja,zanzibr kwanza shengesha baadae.
 
L

lengijave

Senior Member
Joined
Apr 4, 2012
Messages
116
Likes
0
Points
0
L

lengijave

Senior Member
Joined Apr 4, 2012
116 0 0
Mimi nafikiri Zanzibar ipewe uhuru kamili na Tanganyika ipewe uhuru wake,maana mikataba iliyo sainiwa na mafisadi wa Tanzania lazima ipitiwe upya kama ina maslahi ya Tanganyika,then sisi wananchi tuanze kujiunga na zanzibar pale tunapoona kuna interest,
Zanzibar ni mzigo mkubwa lakini wakiwa huru wataweza kukopeshwa na kusaidiwa na nchi mbali mbali,Nyerere aliunganisha Zanzibar kwa suala la usalama,sasa vita baridi imekwisha Rais wa china kaja anfuata Obama
 
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
1,241
Likes
10
Points
0
Age
39
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
1,241 10 0
Bila ya mamlaka kamili ya z'br muungao upo mashakani,watanganyika hawaoni hatari kupoteza mamlaka yao ndio wakayapoteza lakini kwa z'br kupoteza mamlaka yetu ni udhalili wa kupindukia.
 
B

Boribo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
459
Likes
94
Points
45
B

Boribo

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
459 94 45
Tena hiyo Serikali ya Muungano ni pasu kwa pasu hakuna cha mkubwa wala mdogo!!!
hamuwezi vunja mbalini!!
 
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
20,053
Likes
2,603
Points
280
Viol

Viol

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
20,053 2,603 280
Tatizo nini?mbona rahisi tu mkuu atangaze Zanzibar iwe nchi huru,hawa wazenji ni mzigo mavi
 
minyoo

minyoo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Messages
11,102
Likes
6,838
Points
280
minyoo

minyoo

JF-Expert Member
Joined May 25, 2013
11,102 6,838 280
Bado sipati picha kwa nini wana CCM walazimisha wa z'bar muungano kwa nguvu,hoja ya kusema serikali tatu itavunja muungano ni ni hofu na mashaka ya CCM, ndio maana mafisadi wa ccm juzi walikimbilia kupiga rasmli usiku ili wakatae,ukweli ni kwamba Z'abr ni nchi kamili hatuwezi kutumia mgongo wa muungano kwa nyima wenzetu haki zao ili hali Dunia nzima inajua kwamba muungano lazima uridhiwe na pande mbili wala si kutumia ubabe kama wanavyo fanya ccm, ccm hawa taki serikali 3 kwa 7babu ya kisiasa tu,yaani watapoteza madaraka ya kisasa 7babu ya kusema ni gharama na nchi ni maskini ni ya kipuuzi na pia wanaogopa kuimarika kwa CHADEMA HUKU TANGANYIKA AMBAO WAO CDM wana unga mkono serikali 3.Sasa watz mjue 7babu ya ccm kuchakachua yale mabaraza ya katiba ili mambumbu wapitishwe ndio hii ya luona madai ya serikali 3, hata jana mlisikia Vuvusela Nape wa bure akisema chama imeagiza wanachama wake kupitia hiyo rasmi kutoka kwenye ngazi ya wilaya hapa alilenga haya mabaraza ya ccm.
Hoja ya msingi ni ccm kuendeleza uongozi wa kiimla ambao watakuwa waki2mia Z'bar kama kura ya turufu ya kumaliza nguvu ya CDM na vyama vingine vya upinzani, HAPA NAOMBA WATZ TUSIKUBALI RASMU YA CCM, WARIOBA AMETUONYESHA NJIA NI LAZIMA TUKOMAE WOTE, CCM WANATAKA KUANZISHA UTAWALA WA KIFALME KWA KUTUMIA HUU MUUNGANO FEKI WA SIASA ZA FITINA,UWIZI NA UAJI.
PIA WAZ'BAR DAINI HAKI ZENU KUMBUKENI CCM ILIVYO WASALITI MWAKA 1983 KWA KUMVUA JUMBE MADARAKA YA URAIS KISA KUHOJI UHALALI WA MUUNGANO,
VIJANA WA TZ TUWACHENI USHABIKI KWA HILI TUIAMBIE HILI GENGE LA MAJAMBAZI WA CCM KWAMBA YATOSHA.
TUBEBURUZWA VYAKUTOSHA,TUMEPUUZWA VYA KUTOSHA NA MMETUPOTOSHA VYA KUTOSHA WAACHENI WTANGANYIKA NA WA ZANZABARI WAMUE WENYEWE SIO MATAHIRA WA CCM WAMUE MUSTAKABALI WETU.
KUENDELEA KUWA NA CCM NI LAANA KWA VIZAZI VIJAVYO NA VYA SASA.
ZNZ Waludi tu kwenye ukoloni wa waarabu Umeme chakula wataununua kwa Dola toka bara
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Sure! Kwa nini ung'ang'anie koti linalokubana? Mwisho wake ni kuchekwa na watu. Let Zanzibar go. What is the big deal here?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
minyoo

minyoo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Messages
11,102
Likes
6,838
Points
280
minyoo

minyoo

JF-Expert Member
Joined May 25, 2013
11,102 6,838 280
Urusi ilisambalatika kisa serikari tatu na Rusia imebaki Nchi tajiri hata Senegal na Gambia muungano uliyeyuka na kila Nchi unaishi kwa Amani .ZNZ wanataka kuwaludia koloni la kiarabu waachwe waende wakapate Moto ipo siku wataikumbuka Tz Bara kwani Bara ni Nchi tajiri sana na endapo Pesa za Mgao wa Zenji zitabaki Bara na Umeme na chakula tukawauzia kwa dola kisha wazanzibar wote walipie viza na Vibali vya kuishi na kufanya kazi Bara hakika Bara watakuwa Nchi tajiri sana
 
Ww ni miongoni mwa misukule ya JK Nyerere!!!
 
Si mngeanza na madini kwanza mnayopata meahaba 3%!!!?
wewe akili yako yote umeiweka kwenye mbatata mabwana zako Wazungu wanaimaliza Almasi naTanzanite!!
ZANZIBAR KWANZA PROPAGANDA BAADAE!!!
 
Kocho

Kocho

Senior Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
120
Likes
1
Points
0
Kocho

Kocho

Senior Member
Joined Jun 5, 2013
120 1 0
misukule ya kambarage hawalijui hilo bora uwambie Zanzibar ni nchi huru isiwe kisingizio muungano porojo tuuu na siasa tuachiwe tupumue tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hi kwani tukifa njaa mtaumia nini mazikoni musije tuacheni tufeee bora ukoma kuliko ccm washenzi wakubwa
 
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
1,241
Likes
10
Points
0
Age
39
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
1,241 10 0
Wataanza lini mchakato wa katiba ya tanganyika?nawasubiri kwa hamu.
 
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
13,480
Likes
4,085
Points
280
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2009
13,480 4,085 280
By international convention Zanzibars Territorial waters is belt of water 12 nautical miles from its coastal shore while its exclusive economic zone extends 200 miles from shores. Tanganyika's vise grip on Zanzibar is more about vast expanse of sea under Zanzibars jurisdiction than brotherly love.
 
Dotworld

Dotworld

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
3,938
Likes
163
Points
160
Dotworld

Dotworld

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
3,938 163 160
.
12 nautical miles = (22 km
) as One (1) international nautical mile converts to: 1.852 kilometres (exact)

A state's territorial sea extends up to 12 nautical miles from its baseline. If this would overlap with another state's territorial sea, the border is taken as the median point between the states' baselines, unless the states in question agree otherwise. A state can also choose to claim a smaller territorial sea.
 
Kashaijabutege

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Messages
2,699
Likes
37
Points
135
Kashaijabutege

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2010
2,699 37 135
Move this to legal matters.
 
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
13,480
Likes
4,085
Points
280
simplemind

simplemind

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2009
13,480 4,085 280
.
12 nautical miles = (22 km
) as One (1) international nautical mile converts to: 1.852 kilometres (exact)

A state's territorial sea extends up to 12 nautical miles from its baseline. If this would overlap with another state's territorial sea, the border is taken as the median point between the states' baselines, unless the states in question agree otherwise. A state can also choose to claim a smaller territorial sea.
Vyovote vile Tangayika's TS/EEZ ni ndogo ukizingatia TS/EEZ za Mozambique,Kenya na Zanzibar.
 
rayun

rayun

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
240
Likes
3
Points
35
rayun

rayun

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
240 3 35
ndugu zanguni watu weusi wenzangu..nimesikitishwa sana kufikia hatua wazee wetu watu weusi wenzetu, walipgania uhuru kwa mali na nafsi zao, walipoteza maisha na adhabu kedekede zilizowapata ili vizazi vyao yaani sisi waafrika watu weusi kokote tulipo duniani iwe visiwani au barani au ata nje ya bara la afrika, tuishi kwa kujitawala na kwa starehe huku tukiishi kwa mapenzi bila kudhulumiana.
kinachoniskitisha ni kuona waafrika wenzetu na majirani zetu ambao kiuasilia baadh ya ndugu zetu ni asili zao, wametugeuka na kudharau kazi kubwa walizozifanya mababu na mabibi zetu, baada kuondoa wakoloni waliokua wakitutesa kwa UNAFIKI NA TAMAA waliamua kutugeuka na kua wao ni wakoloni weusi, kuanza kuchukua kilichochetu na na kutuminya kimaisha mpka tukakosa pumzi, imefikia hatua bora mkoloni mweupe ambae si katika sisi alitutawala kwa busara, mkoloni huyu mweusi mwenzetu ana makali zaid ya wakoloni wanzungu, ametuuwa, ametunyanganya, ametutesa, anatuchagilia wa kutuongoza, ametufunga bila hatia, ametubakia dad zetu, watu hawa ni mzgo mzito kwa watu wa visiwani ambao ni dhaifu na ni wachache mno!,
huu ni usaliti na unafiki kwa waafrika, unapaswa ulaaniwe na waafrika wote. hili ni zigo la mavi zito, linanuka, halibebeki na halikokoteki.
nawasilisha
 
myhem

myhem

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
932
Likes
9
Points
35
myhem

myhem

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
932 9 35
Nimeamini kuwa IQ za wazenji wengi zinatia kinyaa. Huu utumbo kampelekee Maalim na uamsho
 
Forum statistics

Threads 1,275,113
Members 490,908
Posts 30,532,960