AmenMwenyezi Mungu atunusuru sote.
Wale ambao hawakai pwani hawawezi kuelewa haya mambo, wanayasikia tu, wanaleta Kejeli za kijinga.
Servers za jf zipo ujerumani kakaAsa kama volcano itatokea na kwa bahati mbaya ikaiathiri daslam nzima na viunga vyake ambapo kuna headquarters na servers za jamiiforums.
Wazee wa threads si ndo basi tena
We acha tu.Dar penyewe unaishi kigamboni sa itakuaje
Yaani jeshi la uokoaji la Tanzania lipige mazoezi ya utayari tena wa kukabiliana na Tsunami uamini kweli? Tanzania hii hiii?Hakuna uhalisia wa jambo hili kutokea bali ni mazoezi ya utayari tu yanafanyika!
Aaaahaaa.Servers za jf zipo ujerumani kaka
na siku Zanzibar wahihamishwa Bara kukimbia maafa ya bado watatengewa eneo la pori tengefu kuendesha Zanzibar ndani ya Tanganyika ili "ku maintain identity ya Zanzibar isije kumezwa." Katika kuzienzi akili mbovu za Muungano wa Nyerere.ndio maana huwa nawashangaa wanzanzibar kutuona wabara chogo,, uwepo wenu hapa bongo tunawasaidia tu, ndio maana tunawapa na ardhi na mnaishi hata kama sisi kule kwenu ni vyogo. kisiwa chenu kila siku huwa kinapungua, itafika mahali mtakuwa samaki na ninyi, wengine watabadilika kuwa nyangumi wengine papa wengine changu wengine kibua kwasababu miaka ya mbeleni kitamezwa na maji. mtakimbilia wapi kama sio bara? kuna kakisiwa fulani bahari ya hidi hapo kamepukutika karibia kanaisha. haya na hizo volcano, zikilipuka, mtakimbilia wapi? mnataka muishi kwenye mashua? mshukuruni Mungu mpo kwenye muungano na mtuheshimu acheni zarau.
Safi sanaHivi huko TMA mna uhakika kuna meteorologist wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao.
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna.
View attachment 2785593
Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM 😀😀(kdn)
_______________________
UPDATE...
------------------------------
Nimepata Update ya tovuti Ya Hali ya Hewa Ya Shirika la Kimataifa Na East African Weather forecasting kutoka East Africa Hazards Watch (EAHW)
Inaonyesha hali ya mvua kubwa katika nchi za Somalia,Ethiopia ,Kenya kidogo na Sudan ya kusini na Uganda
Ila hilo swala la volcano wala elnino halipo kwa miezi yote miwili wa kumi na kumi na moja hakuna mvua ya elnino...
View attachment 2785713
Comment yangu nimetumia neno la kuomba wahusika watoe darasa kwa raia na tahadhari ipi zichukuliweSasa Dar utawapeleka Wapi 😀😀 watu wako ~8mil
Tanga ~3Mil
Unawapeleka wapi 😀😀😀
Kwa Tanzania ni mkoa wa Kagera ndio uliopata mvua kubwa. Hata vyombo vya habari naona wameonyesha baadhi ya sehemu zilizoathirika.Mkuu nimepitia hapa nimeona only kuna mvua kubwa tu Somalia, Ethiopia ,Kenya kidogo,South Sudan na Uganda
Ila Tanzania ni kweupe kabisaa na hata mwezi wote wa kumi nimeona ni peupe sana... Mpaka mwezi wa 11 mwishoni ndo kuna mvua za vuli 😀😀 Shukrani sana mkuu kwa hii tovuti hawa TMA sasa Bybye
View attachment 2785687
Yeah Mkuu uko sahihi kabisaKwa Tanzania ni mkoa wa Kagera ndio uliopata mvua kubwa. Hata vyombo vya habari naona wameonyesha baadhi ya sehemu zilizoathirika.
Key
Light blue - Heavy rains
Dark blue - Torrential rains