Hivi huko TMA mna uhakika kuna meteorologist wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao..
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna ..

View attachment 2785593

Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM 😀😀(kdn)
Beach plots leo zinakimbiwa, watu wamejaa mlimani City.
Masaki na Oysterbay kumekimbiwa.
 
Kama zoezi linafanyika kwa community level ukiangalia kwa maeneo tajwa ambayo yangeathirika kulikuwa na utayari upi kwa vyombo husika na jamii kwa ujumla? Hata hapa comments zetu sisi wachangiaji wa mada ni kielelezo halisi cha response yetu sisi jamii kudhihirisha kwamba hatuna preparedness yoyote kukabiliana na janga hilo.
Wamebadili Gia angani hao baada ya kuona sio kweli
 
Hivi huko TMA mna uhakika kuna meteorologist wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao..
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna ..

View attachment 2785593

Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM 😀😀(kdn)

_______________________
UPDATE...
------------------------------
Nimepata Update ya tovuti Ya Hali ya Hewa Ya Shirika la Kimataifa Na East African Weather forecasting kutoka East Africa Hazards Watch (EAHW)
Inaonyesha hali ya mvua kubwa katika nchi za Somalia,Ethiopia ,Kenya kidogo na Sudan ya kusini na Uganda
Ila hilo swala la volcano wala elnino halipo kwa miezi yote miwili wa kumi na kumi na moja hakuna mvua ya elnino...

View attachment 2785713
Kwa kweli kwa wanaokula mishahara ya bure na marupurupu ni hawa jamaa wa TMA, kila tukio au taarifa ni fyongo kwa kwenda mbele. Labda tumpe DP WORLD.
 
Wameona tukiishi Kwa amani hawajiskii Raha, baada ya kuona issue ya Bei ya mafuta tumeizoea wamekuja na kitisho kingine
 
Hivi huko TMA mna uhakika kuna meteorologist wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..

Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!

Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..

Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao.

Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna.

View attachment 2785593

Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM (kdn)

_______________________
UPDATE...
------------------------------
Nimepata Update ya tovuti Ya Hali ya Hewa Ya Shirika la Kimataifa Na East African Weather forecasting kutoka East Africa Hazards Watch (EAHW)
Inaonyesha hali ya mvua kubwa katika nchi za Somalia,Ethiopia ,Kenya kidogo na Sudan ya kusini na Uganda
Ila hilo swala la volcano wala elnino halipo kwa miezi yote miwili wa kumi na kumi na moja hakuna mvua ya elnino...

View attachment 2785713
Mvua ni kubwa kwenye nchi mojawapo inamwagika na upepo mkali
 
Back
Top Bottom