Sayansi na wanasayansi wa bongo ni nyoso sana.
Kiasi fulani siwalaumu hao wataalam wa TMA maana inawezekana wakawa wale tuliofanya nao practical za physics pindi tukiwa shule. Unapewa vifaa vya umeme uunganishe umeme, baada ya kuunga mshale unasoma negative voltage.
Kwahiyo inawezekana wana nia njema sema vifaa ndio vinawaangusha kwa uchakavu. Kwamba vifaa vimewaongopea badala ya mvua za vuli vimesoma TSUNAMI.
 
Hakuna tsunami. Wanasema walilikuwa kwenye majaribio ya utayari na kuona uharaka wa kusambaa kwa taarifa😂🖖🏾
IMG-20231018-WA0044.jpg
 
Hivi huko TMA mna uhakika kuna meteorologist wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao..
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna ..

View attachment 2785593

Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM 😀😀(kdn)
Mbona tangazo la tahadhari halitaji tarehe Inayotegemewa kutokea hiyo tsunami?
 
Hivi huko TMA mna uhakika kuna meteorologist wazoefu au kuna wanafunzi wa Fied wanjifunza kufanya kazi..
Maana Imekuwa kama Ofisi ya Ramli ya Taifa Sasa!
Zamani tuliiamni sana ila kwa sasa naona imekuwa Too much..
Walivyoona Elnino haitakuwepo tena sasa wameona ni bora waje na Utabiri mwingi ilimradi tu tusiishi kwa Raha tuishi kwa Mashaka mashaka ndo furaha yao..
Sasa leo wanasema kuna Tsunami Dah haaya bhna ..

View attachment 2785593

Haya yamekuja baada ya Biteko kuwekwa kuwa NWM (kdn)
Kutisha WaTz, kuwafanya waoga ndio aina ya uongozi wetu, na wanaofanya haya huzawadiwa na mama yao.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mbona sielewi ni vipi mikoa ya pwani ya bara ichukue tahadhari (jambo ambalo ni jema kabisa) ilhali visiwani hasa Zenji, pemba na Mafia ambako ndio kumezungukwa na maji kusiwe na angalizo wakati ni kilomita chache kutoka pwani ya TZ bara, au mie ndio sijaelewa vizuri hii tsunami inakujaje?
Mafia Iko Mkoa wa Pwani. Huko kwingine ulikotaa siyo Tanganyika. Ni nchi jirani huko na TMA yao.🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Tuone na source zingine zinasemaje

Mkuu nimepitia hapa nimeona only kuna mvua kubwa tu Somalia, Ethiopia ,Kenya kidogo,South Sudan na Uganda
Ila Tanzania ni kweupe kabisaa na hata mwezi wote wa kumi nimeona ni peupe sana... Mpaka mwezi wa 11 mwishoni ndo kuna mvua za vuli 😀😀 Shukrani sana mkuu kwa hii tovuti hawa TMA sasa Bybye
Screenshot_20231018-183513.png
 
Back
Top Bottom