Nimecheka sana😂
@Heaven Sent tupe majibu.
Waambie hao. Halafu kwanini wamekomalia Mbeya wakati kuna mikoa mingine hakuna ghorofa hata moja lenye lift.Hofyooo, ipo na hospital
Waambie hao. Halafu kwanini wamekomalia Mbeya wakati kuna mikoa mingine hakuna ghorofa hata moja lenye lift.
Na wanajisahaulisha kwamba Mbeya ni mji ambao hauna majengo marefu sana kutokana na kwamba ni mji ulioinuliwa yaani ni mahali patakatifu palipoinuka mji wa makuhani.
Asiyependa akakumbatie transformer
Mie nilikuita tu uthibitishe. Sijaandaa mimi hiyo meme.
Mie nilikuita tu uthibitishe. Sijaandaa mimi hiyo meme.
Kwahiyo kumbe ni maghorofa mawiliSasa si ndio wanyaki tukarara mbere na wewe mjumbe (leo mjumbe anauawa khaa)
Kwahiyo kumbe ni maghorofa mawili
Hivi si unatujua lakini tunavyopigana?
Hivi na ile fly over inakopita train hapana lift pale kweliWaambie hao. Halafu kwanini wamekomalia Mbeya wakati kuna mikoa mingine hakuna ghorofa hata moja lenye lift.
Hivi na ile fly over inakopita train hapana lift pale kweli
Hebu lala huko! Mie ndio kumekucha.
Daah bila shaka hii Ni kejeli
Kwani huna mke?Ndo kwanza namsaka wa kunizalia hilo litoto. Siyo kazi rahisi kama unavyodhani!
Kweli hata wewe bageshi hujui kuwa ninao wawili? Mke mkubwa nilimuoa zamani wakati nikiwa kijana. Mke mdogo ndo yupo kwenye early 40s hivi na huyu nilimuoa mwaka juzi tu hapaKwani huna mke?