Si nimeona unasema unasaka wa kukuzalia [emoji2][emoji2][emoji2]Kweli hata wewe bageshi hujui kuwa ninao wawili? Mke mkubwa nilimuoa zamani wakati nikiwa kijana. Mke mdogo ndo yupo kwenye early 40s hivi na huyu nilimuoa mwaka juzi tu hapa [emoji16][emoji16][emoji16]