Vicoba, mawigi, vicondom na kutumia wazazi nyumbani kwenuYani ni kweli kabisa...wanawake na hela ni kama mlenda na bamia...na sijui hata tunafanyiaga nini maana matumizi hayaeleweki...
HahahahaaaaVicoba, mawigi, vicondom na kutumia wazazi nyumbani kwenu
UwiiiWeaving 500k
Skin care products 300k
Outfits 1M
Kope za human kila mwezi 50k