Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mitano tena
FB_IMG_16345029274947488.jpg
 
Mijitu gani sasa? Mwenye kosa hapo ni huyo mama. Yaonekana pengine hata kufuli hana. Dogo si kwa kushangaa huko [emoji706][emoji706][emoji706]

This is abuse na picha kama hii kwenye nchi za wenzetu huko inaweza kukuletea matatizo makubwa hasa kwa aliyeipiga....
Huyo mmama,hajielewi[emoji16],
 
Nasaka mke wa tatu bageshi. First born wetu anao wanne. Mimi nataka nikomee watatu. Kama kuna kabinti ka Kisukuma huko at least 35+ nifanyie connection nkoyi...Nakūlūmba no no no [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Karibu Misungwi mjini ukipata nafasi bageshi. Ulizia kwa mzee Shimba yule mkulima maarufu wa dengu na nyanya.
Espy atakufaa sana mahari napokea mwenyewe na kama huna basi nakugawia bure tu [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom