Kwa ex
FB_IMG_16338111388051657.jpg
 
Hofyooo, ipo na hospital
Waambie hao. Halafu kwanini wamekomalia Mbeya wakati kuna mikoa mingine hakuna ghorofa hata moja lenye lift.

Na wanajisahaulisha kwamba Mbeya ni mji ambao hauna majengo marefu sana kutokana na kwamba ni mji ulioinuliwa yaani ni mahali patakatifu palipoinuka mji wa makuhani.

Asiyependa akakumbatie transformer
 
Wote hawajasoma Geography kama sisi mdogo angu, hawawezi kuelewa

C.c Espy
Waambie hao. Halafu kwanini wamekomalia Mbeya wakati kuna mikoa mingine hakuna ghorofa hata moja lenye lift.

Na wanajisahaulisha kwamba Mbeya ni mji ambao hauna majengo marefu sana kutokana na kwamba ni mji ulioinuliwa yaani ni mahali patakatifu palipoinuka mji wa makuhani.

Asiyependa akakumbatie transformer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom