Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwa ex
FB_IMG_16338111388051657.jpg
 
Hofyooo, ipo na hospital[emoji53][emoji53][emoji53]
Waambie hao. Halafu kwanini wamekomalia Mbeya wakati kuna mikoa mingine hakuna ghorofa hata moja lenye lift. [emoji41][emoji41]

Na wanajisahaulisha kwamba Mbeya ni mji ambao hauna majengo marefu sana kutokana na kwamba ni mji ulioinuliwa yaani ni mahali patakatifu palipoinuka mji wa makuhani. [emoji16][emoji16]

Asiyependa akakumbatie transformer [emoji1787][emoji1787]
 
Wote hawajasoma Geography kama sisi mdogo angu, hawawezi kuelewa

C.c Espy

Back
Top Bottom