.....
Itisheni mikutano ya hadhara muwaeleze wazi wazi wananchi vitu hivi. Mbona mnajifungia kwenye kumbi na magazeti? Mje mbele ya raia muwaeleze haya tote mnayoandika magazeti, na kuyasema kwenye viako vyenu vya ndani, na kumbi mbali mbali wawaelewe vizuri wananchi. Rahisi tu!
Usitupangie
 
Ukicheza na uchafu lazima ukubali kuchafuka,
ukitoka salama ni bahati sana,
na kwa hili hakuna anayesalimika.
Kuongoza nchi ni sawa na kucheza na uchafu,
Kila kosa litokealo ni la Mkuu wa Nchi, hata kama watendaji wake ndio waliotenda.
HAPO NDIO UTAONA UMUHIMU WA UWEPO WA UPINZANI MAKINI NA WENYE NGUVU ILI KUMISAIDIA SERIKALI KUBAINI MADUDU
UKIUA UPINZANI UMEJIANDALIA KABURI LA KUCHAFULIWA NA WATENDAJIWASIO WAAMINIFU.
Mkuu wa awamu ya tano amejitakia. Kikwete alijiwekea kinga kwa kuimarisha upinzani na akatoka akiwa na madudu si haba ,lakini yaliwekwa wazi Bungeni na wapinzani.Nakumbuka Epa, Escrow, Richmond, nk.
 
Mnajitahid sana kumchafua mzeee wa watu
Ukicheza na uchafu lazima ukubali kuchafuka,
ukitoka salama ni bahati sana,
na kwa hili hakuna anayesalimika.
Kuongoza nchi ni sawa na kucheza na uchafu,
Kila kosa litokealo ni la Mkuu wa Nchi, hata kama watendaji wake ndio waliotenda.
HAPO NDIO UTAONA UMUHIMU WA UWEPO WA UPINZANI MAKINI NA WENYE NGUVU ILI KUMISAIDIA SERIKALI KUBAINI MADUDU
UKIUA UPINZANI UMEJIANDALIA KABURI LA KUCHAFULIWA NA WATENDAJIWASIO WAAMINIFU.
Mkuu wa awamu ya tano amejitakia. Kikwete alijiwekea kinga kwa kuimarisha upinzani na akatoka akiwa na madudu si haba ,lakini yaliwekwa wazi Bungeni na wapinzani.Nakumbuka Epa, Escrow, Richmond, nk.
 
Hii iliitwa "serikali ya magufuli" sio ya Samia, kwanza walimtenga kwenye maamuzi
Nani aliita? Yeye hakuwa anasikia ikiitwa ni ya Magufuli? Kwa nini hakujitoa kama alikuwa anatengwa ki-maamuzi? Hukusikia anasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja? Wewe ni nani mpaka useme hivyo wakati yeye alisema wako pamoja?
 
... mkiambiwa kumaliza tatizo Katiba Mpya ni muhimu mnang'aka. Sawa, viongozi waliopo walihusika; wawekeni pembeni basi kama mnaweza! Katiba mbovu iliyopo inawalinda; na kwa Katiba hii wataendelea kufanya ufisadi hadi kiama na hamtawafanya kitu!
 
Nani aliita? Yeye hakuwa anasikia ikiitwa ni ya Magufuli? Kwa nini hakujitoa kama alikuwa anatengwa ki-maamuzi? Hukusikia anasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja? Wewe ni nani mpaka useme hivyo wakati yeye alisema wako pamoja?
Mama ni mpango wa Mungu kwa taifa hili, Mungu asingeruhusu mama ajitoe
 
Serikali ya chama cha mapinduzi, ndiyo inayowajibika! Kuanzia Sukuma gang, mwendakuzimu mpaka Mama Jamila mpaka Humphrey Hadi kina Kayanda na wazanzibara wote wanahusika!
Siyo mwenyekiti Tu peke yake!
 
Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.

Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyeweView attachment 2187904
Mleta mada leta mchanganuo wa kiasi kikubwa cha yale ya awamu ya 5 na kiasi kidogo cha awamu "5" sorry ya awamu ya 6 katika matumizi mabaya ya mali za imma.

Pia. Je CAG amepitia makablasha yanayoonyesha ubadhilifu wa fedha kwenye Wizara ya fedha uliotokea Kati ya Machi hadi na kuendelea 2021, ambapo ilimlazimu Waziri Mkuu kuunda tume kuchunguza?
 
Jiwe alikuwa anawaficha taarifa wananchi, ilifikia hatua mpaka anamfukuza kazi CAG ili uchafu wa uongozi wake usifahamike
Tuanze sasa kunadi ripoti ya CAG wa awamu hii mbele ya wananchi kwa njia ya mikutano ya hadhara Tena tuanzie pale pale Dar es Salaam ndani pale viwanja vya Zakieem, twende viwanja vya Kawe na kwingineko ili wananchi waelezwe "ukweli huu wa wazi" wa CAG machachari wa sasa. Ha ha ha haaaa!
 
Leo alfajiri nilipokuwa napitia vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali, nimekutana na kichwa cha habari kilichonistajabisha sana...eti "Ufisadi Mkubwa Awamu ya Tano"


Kinachinishangaza ni kuwa "watendaji wakuu wa awamu ya tano, ni wale wale wa awamu ya sita" wakiongozwa na Bibi Samia.

Kwanini mamlaka husika zisiwachukulie hatua?


Ufusadi wa awamu ya tano ni mzuri sana kwani kuputia ufIsadi huo...

Ndoto za muasisi wa taifa hili zilitimia hasa serikali kuamia Dodoma, mradi wa umeme (Japo zipo juhudi za wazi kukwamisha) na nchi yetu ilitoka katika daraja ya umasikini na kuwa nchi ya uchumi wa kati wa chini.


Huduma za kijamii zilitolewa, tena zingine bila malipo, raslimalI za umma zililindwa sana, japo baadhi ya watanzania walizuia juhudi hizo waziwazi.


Kwanini sasa inakuwa hivi?

Mafsadi ya nchi hii, yaliyobanwa kwa muda wa miaka 5 ya JPM yamefunguliwa minyiroro, yana hasira na njaa ya kufisadi...kabla ya kufisadi yanataka kutuaminisha kuwa awamu iliyopita haikufanya chochote, yanashindwa kutambua kuwa JPM alikuwa rais ili atuineshe mwanga na sisi tumeuona na tutaendelea kuufuata daima.



USHAURI KWA AWAMU YA SITA ( Ambayo kimsingi watendaji wake wengi walihudumu awamu ya tano)



Tengenezeni legacy yenu, kujaribu kufuta legacy ya JPM kwa taifa hili ni sawa na kujaribu kukimbia kivuli chenu" Jua likichomoza lazima kivuli kitatokea tu.


Miezi ya hivi karibuni, jua la mfumuko wa bei limechomoza na kivuli cha mazuri ya JPM yameonekana dhahiri.


NADHANI ULE UTABIRI WANGU UMEANZA TIMIA,

NAwakumbusha tu kwa wale ambao hamjui kinachoendelea,

AWAMU YA SITA ili ifisadi vizuri lazima ichafue awamu ya tano, maana wanajua macho ya watanzania yameamka!




Najua hata hapa JF kuna vijana wanalipwa kuchafua serikali ya JPM cha kusikitisha hadi moderators wa jukwaa hili pendwa wameingia katika huu mkenge...si ajabu uzi wangu kufutwa.
 
Back
Top Bottom