Tuanze sasa kunadi ripoti ya CAG wa awamu hii mbele ya wananchi kwa njia ya mikutano ya hadhara Tena tuanzie pale pale Dar es Salaam ndani pale viwanja vya Zakieem, twende viwanja vya Kawe na kwingineko ili wananchi waelezwe "ukweli huu wa wazi" wa CAG machachari wa sasa. Ha ha ha haaaa!
Awamu ya 5 ilikuwa ni janga la taifa
 
Watu wanasema kuwa dunia ya leo ogopa sana technology na watawala.

Leo hii tumeanza kugundua na kujuzwa na vyombo vya habari kuwa awamu ya 5 iliongoza kwa ufisadi.

Waliokuwa wanajiita wazalendo kumbe walikuwa ndio wapigaji wakubwa wa mali ya umma.

Source:raia mwema.View attachment 2187981

AWAMU YA 6 INAONGOZWA KWA UFISADI.​

Watu wanasema kuwa dunia ya leo ogopa sana technology na watawala.

Leo hii tumeanza kugundua na kujuzwa na vyombo vya habari kuwa awamu ya 5 iliongoza kwa ufisadi.

Waliokuwa wanajiita wazalendo kumbe walikuwa ndio wapigaji wakubwa wa mali ya umma.

Source:raia mwema.View attachment 2187981
Serikali ya Magufuri imefanya Mambo makubwa kwa mda mfupi,kuliko Sisi tulioka miaka 30 by Ally Assan Mwinyi,hizi nyingine ni porojo.
 
Maushungi alikuwa sehemu ya mfumo wa awamu ya 5,ila Cha kushangaza wapambe wake wanamuweke pembeni kwenye kashfa za wizi na lawama zinakwenda kwa Marehemu pekee

Unaweza shangaa hata hili sakata la pikipiki 1 kununuliwa 11m lawama akapewe marehem.
 
Mnatumia nguvu kubwa sana kumchafua Bwana yule ila ukweli utabaki pale bwana yule aliupiga Mwingi sana .
 
Serikali ya Magufuri imefanya Mambo makubwa kwa mda mfupi,kuliko Sisi tulioka miaka 30 by Ally Assan Mwinyi,hizi nyingine ni porojo.
Huyo alichokuwa anakitafuta kutoka kwa jiwe ni mwanawe kupata kanafasi na tayari kashafanikiwa
 
Back
Top Bottom