Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,157
Mkuu unaona yanayofanyika kwa sasa?Mkuu, tumpe mama muda, Samia kaipokea nchi ikiwa imeharibika kimfumo, utawala wa sheria uliwekwa kampuni, Sasa mama anayafufua mambo yote na kuyaboresha
Mkuu unaona yanayofanyika kwa sasa?Mkuu, tumpe mama muda, Samia kaipokea nchi ikiwa imeharibika kimfumo, utawala wa sheria uliwekwa kampuni, Sasa mama anayafufua mambo yote na kuyaboresha
Ushetani upiIwe iweje hakuna binadamu anapenda mambo ya kishetani🤭
Mjomba mpigaji umemsahau laliAliyefariki ni Magufuli tu. Wengine wote wako hai na ndiyo wanaendeleza kilichofanyika, hivyo huwezi kutenganishwa ufisadi wa mwaka juzi na utawala uliopo.
Wote ule uwe uwao🤔Ushetani upi
Hueleweki huo ushetani unao uzungumziaMjomba mpigaji umemsahau lali
Wote ule uwe uwao🤔
Iwapo ni miongoni au ulikuwa miongoni mwa timu uovu lazima usielewe pindi unavo sikia Neno uovu🤔Hueleweki huo ushetani unao uzungumzia
Mbona hueleweki mkuu mara uovu mara ushetani, nilikuwa miongoni mwa timu uovu gani hiyo!?Iwapo ni miongoni au ulikuwa miongoni mwa timu uovu lazima usielewe pindi unavo sikia Neno uovu🤔
SawaNashukuru kwa Dua zako mkuu
ama kweli shule za kata sio msaada, yaani ujuavyo wewe nchi hii hakuna muuzaji mwenye stock ya pikipiki 300?Acha ubwege, unadhani pikipiki mi sawa na sahani ya makande unayonunua kwa mia tano mtaani kwenu